Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Weeeeh! Huyu msukuma ukimpatia wala hawi mkali. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, usitafute visingizio hapa.

Tena wewe huyu mkali ndio anakufaa.
Kwanini mkali ndio ananifaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sio atakuwa ananionea? Mwenyewe mpole sijui hata kujitetea. [emoji22][emoji22]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli watoto wa mama mmoja. Shakula sana mboga na kulala. Kama ni nyama ndio kabisaaa napiga supu huku najiambia "taabu yote ya nini nipike vitu vingi wakati nakula mwenyewe"
Jinga kweli.
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa mimi huwa narudi nimechoka napika mboga naidokoa hadi nakaribia kushiba naamua niile tuu yote nilale[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si unanipokea Ubungo, unanishika na mkono.
Hahahahahah dar hauji dada utagongwa na magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli watoto wa mama mmoja. Shakula sana mboga na kulala. Kama ni nyama ndio kabisaaa napiga supu huku najiambia "taabu yote ya nini nipike vitu vingi wakati nakula mwenyewe"
Kwahio nikioa kama wewe nikirudi inabidi nimelizie mboga iliobaki! Eti cute b ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom