Huu mwamba unaweza kushuka?

Huu mwamba unaweza kushuka?

Hii ndio maana ya ''Wewe tena?''

Mada ipo jukwaa la Chit chats halafu nifikiri kwa upana?
Image ni AI content,

Ni mpumbavu pekee ndio ataamini kua huo mti unaweza kuzuwia hilo jiwe kama litavutwa na Earth gravitation force,
Hata huo mti ungekua ni chuma hauwezi kuzuwia hapo coz huo mti wenyewe kwanza haupo 90 Degree na hata ungekua 90 deg hauwezi kuzuwia.
Hebu punguza kamdomo, uje Shinyanga huku kwenye vibanda chini ya miamba tule maembe, msimu umeanza 😋😎.

Mango GIF.gif
 
Huu ndio ukweli, hauwezi kushuka.

Kwa kuwa umejenga hoja kupitia picha, nami najibu kwa kuweka picha.

Chukulia iceberg - kinacho onekana huwa ni sehemu ndogo tu, cha dubwana kubwa huko ndani ya maji:
View attachment 3689739
=
View attachment 3689740
Ni kweli hauwezi kushika..lakini muhusika naona amewaza unaweza kushika na akaamua kuweka kizuizi.Je alifikiria uzito wa huo mwamba vs kizuizi ambacho ni mti?
 
Back
Top Bottom