min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,607
- 131,504
Mkaa vip?Hapa mjini huwezi amini kuni ni ghali kuliko gesi mara mia
Mkaa vip?Hapa mjini huwezi amini kuni ni ghali kuliko gesi mara mia
Bro you're cooking right here, freedom 🔥😁Tayari kabisaaa . Nafikiri our time is now Babe
Maisha sometimes yanatupa tusichotakaNi maisha pia. Kama mtu ameyataka umafanyaje sasa!?
Huo nao ndo balaa na nusu na mateso juuMkaa vip?
Ok, maana inafanana na gauge yakupimia pressure kama zilivyo za fire extinguisher.Huwa inapima wingi
Kufeli napo ni sehemu ya matokeo 😁Maisha sometimes yanatupa tusichotaka
Mimi sikutamani kabisa kulea watoto Peke yangu
Ila nishajua hii ndo fate yangu .
Karibu kwenye chama cha tuliofeli mahusiano
Sasa kama gesi ni ya kupimiwa maharage , nyama , makande unachemshia wapi kama hauna mkaa madam? Au nyie ni wale wa pizza?Huo nao ndo balaa na nusu na mateso juu
Bora umeme
As long as you are the mortuary warden, no body will vanish uncircumcised 😂Bro you're cooking right here, freedom 🔥😁
Huu ukiisha, nunua kutoka kwengine. Hali ikiwa tofauti utajua unachezewa. Ikiwa ile ile, ni ama kwako kuna tatizo au kiwandani kuna tatizo.Mzani sina halafu nilikuwa naona mambo madogo ila naona kuna watu wanatuchezea sio bure
Aaaaah my friend hata usiongee kwa huruma,kuliko kukaa unateseka na kuumizwa kwa sababu ya jitu zima, mwisho ufe kabla ya wakati wako, basi ni bora kuacha aende tu!Maisha sometimes yanatupa tusichotaka
Mimi sikutamani kabisa kulea watoto Peke yangu
Ila nishajua hii ndo fate yangu .
Karibu kwenye chama cha tuliofeli mahusiano
Mungu nifundishe kunyamazaAs long as you are the mortuary warden, no body will vanish uncircumcised 😂
natumia pressure cooker ya umemeSasa kama gesi ni ya kupimiwa maharage , nyama , makande unachemshia wapi kama hauna mkaa madam? Au nyie ni wale wa pizza?
Hapo sawa gasi pia ilibidi kila nyumba iwepo na mifumo iwe kama kulipia maji , salio lako likikata inaisha ukiweka ngoma inaachiwa🤔natumia pressure cooker ya umeme
Hii nusu saa maharage yameiva .umeme hata unit moja haitumiki mkuu
Yaani miaka hii maisha yamerahisishwa hata vyombo hatuoshi atiii
Japo Nina mapungufu mengi lakini Mimi sio mwenye makosa mkuu hata Mungu ni ShahidAaaaah my friend hata usiongee kwa huruma,kuliko kukaa unateseka na kuumizwa kwa sababu ya jitu zima, mwisho ufe kabla ya wakati wako, basi ni bora kuacha aende tu!
Na ikiwa wewe sio uliyeharibu, haupaswi kujiona umefeli,unakuwa umefelishwa!
So, relax kabisaaa, otherwise wewe uwe umemwacha mtu kwa hila...
Huku bongo si unajua bahati mbaya Hadi tuforce kupata Raha?Hapo sawa gasi pia ilibidi kila nyumba iwepo na mifumo iwe kama kulipia maji , salio lako likikata inaisha ukiweka ngoma inaachiwa🤔
Ila wadada mkivaaga chup huwa mnanikosha sana😊😊🙃😉Huku bongo si unajua bahati mbaya Hadi tuforce kupata Raha?
Hivi hivi tunaforce
Watu SA hivi wanaishi kishua Sana hata kama hela hawana
Siku hizi kuna Hadi chupi disposable.unavaa mara moja unatupa
Zipo pc 50 kwa elfu 50
Kwa mwezi unakuwa na bill ya chupi yaani
Take away au og?Ila wadada mkivaaga chup huwa mnanikosha sana😊😊🙃😉