Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,513
- 46,563
Kama watz wanaoogelea mito yenye mamba, ati wanajua ratiba zao.Kuna clip niliona wakazi wapembezoni mwa amazon wakidai wanaogelea mito yenye anaconda humo humo wanadai ni nyoka wapole mno na ni nadra sana kushambulia binadamu
Ukiwa mgeni hata kusogelea mto huwezi, ila unakuta kina mama wanafua pembeni ilhali wiki iliyopita tu unaskia mbuzi aliliwa na mamba.