Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Ktk familia yetu, watoto 3 wanaandikia kushoto,

Kunae huyu kaka niliyemfuata, yeye had mguu anatumia wa kushoto, na anacheza ⚽ sana, huwa najiuliza alikua anawezaje kuandika madesa, hasa Advance alisoma PCB, nikiwaza zile notes na namba namba mbna nachoka sana,

Ila wabarikiwe mno, kutumia mambo ktk upande wa kushoto ni kipaji. Lol
 
Ktk familia yetu, watoto 3 wanaandikia kushoto,

Kunae huyu kaka niliyemfuata, yeye had mguu anatumia wa kushoto, na anacheza ⚽ sana, huwa najiuliza alikua anawezaje kuandika madesa, hasa Advance alisoma PCB, nikiwaza zile notes na namba namba mbna nachoka sana,

Ila wabarikiwe mno, kutumia mambo ktk upande wa kushoto ni kipaji. Lol
Nashukuru asante
 
Tuendelee Jamani,.

Huyu mdogo wangu bhana anakigugumizi,. Yaani zamani ilikua kama umemuuliza kitu akuelezee mpaka uje upate content kwanza unakua umeshakereka au umeshamwambia aache kuongea,. Maanake kwanza utamuonea huruma anavyohangaika kutafuta maneno hadi yatoke mdomoni kashachoka,.

Mama alikua hapendi, yaani alikua anachukia kwelikweli,. Alikua anamwambia ukiitwa au ukiulizwa chochote au ukiambiwa chochote usikurupuke kujibu,. Tulia kwanza uvute pumzi halafu ndio uongee kwa sauti ya chini hutaona ukiteseka hivyo,.

Sijui ndio kwasababu ya utoto au nini yaani alikua aliitwa kwa sauti nae anataka aitike kwa sauti basi kigugumizi,. Mama atamtandika kofi nimekwambiaje ukiitwa unatakiwa unye nini??,. Alikua anachapwa .. Au utakuta tu mama anamuongelesha kitu halafu anamkazia macho anataka amjibu😃😆😆,. Basi anatulia anashusha pumzi anaanza kuongea taratibu maneno hayakwami wala...

Sema na yeye mpaka alipokuja kuzoea aliteseka,. Fimbo nyingi sana alikula😄😄,. Sikuzi amekua mkaka anaongea hadi kwa swaga kabisa, mpaka mtu ajue kama anakigugumizi labda akae nae mda mrefu, yaani wawe na stori au maongezi ya mda mrefu ndio mnajua maana mda mwingine anashindwa kujicontrol,. Ila saizi hali ni nzuri sio kama zamani alivyokua mdogo....

Ila huyu mwanamke wa kuitwa mama yangu ni kiboko,. Yaani akikazania jambo lake haachi mpaka litokee ukweli
Kigugumizi ni ulemavu, kwann alikua anawatesa hivyo?

Mtoto wa dada ana kigugumizi kile haswaa, yaan hatari, hadi huwa tunamuonea huruma akiwa anapata shida ktk kuongea, tumejaribu kumlisha mayai mabichi lakini wapii, jaribu za mitishamba lakini wapii, bas tumeacha abaki hivyo.
 
Kipaji kipo,mwangalie tu mtoto katika makuzi yake,hasa kuanzia miaka 3, utaona kile apendacho kufanya mara nyingi sana,hicho ndo kipaji chake,lkn yahitajika mtaalamu hasa wa saikolojia kukiibua na kuonekana kwa watu wengine wasiowataalamu,hiki anazaliwa akiwa nacho..we ukisikia neno kipaji unafikiria nini kwani!!?,, Anayekubali kwamba kipo anaathirikaje? Na aliyeanzisha neno hilo ananufaikaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom