Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Tuendelee Jamani,.

Huyu mdogo wangu bhana anakigugumizi,. Yaani zamani ilikua kama umemuuliza kitu akuelezee mpaka uje upate content kwanza unakua umeshakereka au umeshamwambia aache kuongea,. Maanake kwanza utamuonea huruma anavyohangaika kutafuta maneno hadi yatoke mdomoni kashachoka,.

Mama alikua hapendi, yaani alikua anachukia kwelikweli,. Alikua anamwambia ukiitwa au ukiulizwa chochote au ukiambiwa chochote usikurupuke kujibu,. Tulia kwanza uvute pumzi halafu ndio uongee kwa sauti ya chini hutaona ukiteseka hivyo,.

Sijui ndio kwasababu ya utoto au nini yaani alikua aliitwa kwa sauti nae anataka aitike kwa sauti basi kigugumizi,. Mama atamtandika kofi nimekwambiaje ukiitwa unatakiwa ufanye nini??,. Alikua anachapwa .. Au utakuta tu mama anamuongelesha kitu halafu anamkazia macho anataka amjibu😃😆😆,. Basi anatulia anashusha pumzi anaanza kuongea taratibu maneno hayakwami wala...

Sema na yeye mpaka alipokuja kuzoea aliteseka,. Fimbo nyingi sana alikula😄😄,. Sikuzi amekua mkaka anaongea hadi kwa swaga kabisa, mpaka mtu ajue kama anakigugumizi labda akae nae mda mrefu, yaani wawe na stori au maongezi ya mda mrefu ndio mnajua maana mda mwingine anashindwa kujicontrol,. Ila saizi hali ni nzuri sio kama zamani alivyokua mdogo....

Ila huyu mwanamke wa kuitwa mama yangu ni kiboko,. Yaani akikazania jambo lake haachi mpaka litokee ukweli
 
Tuendelee Jamani,.

Huyu mdogo wangu bhana anakigugumizi,. Yaani zamani ilikua kama umemuuliza kitu akuelezee mpaka uje upate content kwanza unakua umeshakereka au umeshamwambia aache kuongea,. Maanake kwanza utamuonea huruma anavyohangaika kutafuta maneno hadi yatoke mdomoni kashachoka,.

Mama alikua hapendi, yaani alikua anachukia kwelikweli,. Alikua anamwambia ukiitwa au ukiulizwa chochote au ukiambiwa chochote usikurupuke kujibu,. Tulia kwanza uvute pumzi halafu ndio uongee kwa sauti ya chini hutaona ukiteseka hivyo,.

Sijui ndio kwasababu ya utoto au nini yaani alikua aliitwa kwa sauti nae anataka aitike kwa sauti basi kigugumizi,. Mama atamtandika kofi nimekwambiaje ukiitwa unatakiwa unye nini??,. Alikua anachapwa .. Au utakuta tu mama anamuongelesha kitu halafu anamkazia macho anataka amjibu😃😆😆,. Basi anatulia anashusha pumzi anaanza kuongea taratibu maneno hayakwami wala...

Sema na yeye mpaka alipokuja kuzoea aliteseka,. Fimbo nyingi sana alikula😄😄,. Sikuzi amekua mkaka anaongea hadi kwa swaga kabisa, mpaka mtu ajue kama anakigugumizi labda akae nae mda mrefu, yaani wawe na stori au maongezi ya mda mrefu ndio mnajua maana mda mwingine anashindwa kujicontrol,. Ila saizi hali ni nzuri sio kama zamani alivyokua mdogo....

Ila huyu mwanamke wa kuitwa mama yangu ni kiboko,. Yaani akikazania jambo lake haachi mpaka litokee ukweli
Umenikumbusha kuna ndugu yangu alikuwa anakigugumizi, sasa muda wa likizo alikuwa anakuja nyumbani tunakaa wote. Binafsi nilikuwa naona kama ndo anaongea vizuri hivi, nikawa namuiga jinsi anavyoongea. Baada ya muda kama niliadapt kuongea vile. Nikawa na mimi ninakigugumizi fulani hiv. 🤣🤣🤣 bibi akasema hiki cha kujitakia nitakiondoa tu, nilikuwa nakula dozi hadi kikaisha
 
Hahah tunasomeka wapi!
kuna mwana alikuwa anaandika notes O-level tukimuazima tucopy notes tunamuuliza hapa umeandikaje eti "sijui" yaani a kama d, n kama h vurugu tu!
Haha ,. Nakumbuka Advance mwalimu wa Chemistry aliniambia mwandiko wangu ndio utafanya nifeli necta🥲😂😂
 
Eti kwenye ule Uzi wangu niliposema hakuna kipaji duniani/hakuna mtu anayezaliwa na uwezo wa kufanya jambo au kitu watu walikuwa wanabisha kisa wamekaririshwa na mabeberu kutoka ulaya.

Oya Nomadix Al-mukheef implicit memory njooni hapa mjionee kisa kinachofhihirisha kuwa hakuna kipaji.

#hakuna kipaji duniani, neno kipaji nai optical illusion.
Hamna mkuu vipaji vipo sema ndio mpaka uje ujue kipaji chako ni kipi mtihani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom