Ambrose Koller
Senior Member
- Oct 13, 2024
- 102
- 89
Yaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm
View attachment 3473514
Hii ni clear offside kabisa
Kacheze weweYaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm
View attachment 3473514
Hii ni clear offside kabisa
Salama ni nini? Halafu stay kwenye mada uliyoianzisha acha kubadili mada🤣🤣🤣Mbeleko hatukuitikia salama ya mama yenu ata ivo
Kulikuwa na bao🤣🤣🤣Duh kwamba hapo kulikua na goli?
Write your reply...eti hahaha mbumbumbuuu fc
Duh noma mbona ni offside ya wazi mno kwa hiyo pichaKulikuwa na bao🤣🤣🤣
Alimfanyia obstruction de ruck..ilikiwa clear offsideUnapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.
Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.
Ni maelekezo watu washatia kibunda chao mfukoniUkitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye move ni offside. Hili goli ni offside kwa kanuni za offside. Sheria za offside zimebadilishwa unakuwa offside unapozidi mwili mzima.Pacome alikuwa offside akarudi na ku interfere kwenye move na kufunga.
Sawa, kwanini mkashiriki?🤣🤣🤣Kombe la CCM
Acha uwongo; nenda kaugulie nyumbani kwako kimya kimya baada ya kichapo. Pacome alipokuwa offside hakugusa mpira huo, alikuja kuugasa baada ya kuwa ameshatoka kwenye nafasi ya ioffsie akisindikiza mpira wa ulipoigwa na MaxYaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm
View attachment 3473514
Hii ni clear offside kabisa
Shilingi ngapi?Ni maelekezo watu washatia kibunda chao mfukoni
Au tena? Si umesema wamepewa kibunda? Ni shilingi ngapi? 🤣Refa hakupuliza kwanini??? au ni maelekezo mana wanasimba tulizingua hatukuitikia salamu ya mama abdalla
hukuona pacome aliingilia mchezo akiwa offside na kumblock beki wa simba kufanya tackling kwa max?Unapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.
Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.