Sometimes ni bora ukaficha upumbavu wako,pia ni wazo zuri kwako ukilipendaSerikali ya awamu ya 5 walichapisha pesa nyingi sana kabla na baada ya uchaguzi lazima vitu zipande bei
Shut upaPakusifu nitasifu,na pa kukosoa nitakosoa kwa staha ,ni wajibu wangu.
Mimi sio pingapinga kihanithi kama wewe
Your mouth?Shut up
Sababu ni kupanda kwa freight cost za meli, ukizingatia bidhaa nyingi tunaagiza China, na hii imesababishwa na Corona. Dawa ni kuzalisha ndani kwa vile tunavyoweza, mfano unga, Sukari nk.Dah bei ya bati toka 16000 mpk 25000k yule mbunge zuzu aliyesema hataki nyumba za nyasi nchi hii atoe neno
Vijana ambao hamjajenga jiandaeni kulipa pango ya maisha tu
CorrectMagufuli yupi? huyu baba, 'did more harm than good katika uchimi wa nchi, hata huyu chief Hangaya ni matokeo ya huyu jpm
Kwa umejiekeza kwenye eneo muhimu Sana kwa maisha ya mil 60 na kwa selikali katika kipindi cha miezi maisha yamepanda Sana na uhaji wa kila siku katika familia zetu imekuwa mdebwedo !Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.
Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.
Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya sana, wameshindwa kudhibiti hali hii.
Nondo ndo usiseme. Ni hatari sanaDah bei ya bati toka 16000 mpk 25000k yule mbunge zuzu aliyesema hataki nyumba za nyasi nchi hii atoe neno
Vijana ambao hamjajenga jiandaeni kulipa pango ya maisha tu
Na nondo?Sababu ni kupanda kwa freight cost za meli, ukizingatia bidhaa nyingi tunaagiza China, na hii imesababishwa na Corona. Dawa ni kuzalisha ndani kwa vile tunavyoweza, mfano unga, Sukari nk.
Nondo tuendelee kuboresha recycling ya ndaniNa nondo?
We jamaa ni boya sana kumbeNondo tuendelee kuboresha recycling ya ndani
Utakua jizi tu, Magu amekubanaMagufuli yupi? huyu baba, 'did more harm than good katika uchimi wa nchi, hata huyu chief Hangaya ni matokeo ya huyu jpm
Benki zinatuibia wananchi mchana kweupe...Tena hata hawaogopiKwa kweli hali ni tete.
Tozo miamala
Account bank pesa inakatwa tu kingese
Vifaa vya ujenzi ndo usiguse
Hapo salary scale imebaki vilevile kwa 6 yrs now.
Kweli ??
Tumuulize Malisa na kundi lake waliokuww wanaimba korasi hii kwa bidiiKwani ameshaacha kuupiga mwingi?
Std 3 dropoutSometimes ni bora ukaficha upumbavu wako,pia ni wazo zuri kwako ukilipenda