Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

Vifaa vya ujenzi vimepanda bei ghafla,sambamba na bei ya bidhaa za vyakula mpaka inaogopesha! Mbaya zaidi hakuna cha Rais, Waziri Mkuu, au Waziri mwenye dhamana aliye jitokeza mpaka sasa kutolea tamko.

Hili jambo linasikitisha na kuhuzunisha sana.
 
Unalialia nini wewee Mbusii?Si ni lichama lenu huko sadist furaha yenu watu wakiteseka. Si wewe Bingwa wa kusifu humu.
 
CCM hoyee.
Mama Samia hoyee.
Kazi ya kuwafanya watanzania kuwa mafukara zaidi iendelee!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
a
Unalialia nini wewee Mbusii?Si ni lichama lenu huko sadist furaha yenu watu wakiteseka. Si wewe Bingwa wa kusifu humu.
Pakusifu nitasifu,na pa kukosoa nitakosoa kwa staha ,ni wajibu wangu.
Mimi sio pingapinga kihanithi kama wewe
 
Sera za sasa zina unafuu kwa mfanya biashara. Kumbuka aliumizwa sana kipindi kile cha "village champion" wa Chattel. Sasa hakuna "option rather than comprising with them'

Walipata hasara kubwa sana, kwa hiyo njia pekee ni kuwapa uhuru wa kufidia hasara walizozipata ili wajenge tena "trust" na serikali ya chama sikivu.
 
Hater …
 
Serikali ya awamu ya 5 walichapisha pesa nyingi sana kabla na baada ya uchaguzi lazima vitu zipande bei
 
Back
Top Bottom