Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

Kuna wapumbavu wanamtaja magufuli kua ndo msababishi.yani,mfumuko wa bei unapanda wakati wanayemsema amefariki miezi nane iliyopita.

Alaumiwe mama samia kwa kushindwa kuuthibiti huu mfumuko wa bei.
 
Dah bei ya bati toka 16000 mpk 25000k yule mbunge zuzu aliyesema hataki nyumba za nyasi nchi hii atoe neno

Vijana ambao hamjajenga jiandaeni kulipa pango ya maisha tu
Sababu ni kupanda kwa freight cost za meli, ukizingatia bidhaa nyingi tunaagiza China, na hii imesababishwa na Corona. Dawa ni kuzalisha ndani kwa vile tunavyoweza, mfano unga, Sukari nk.
 
Malighafi ni zetu alafu tunaendeshwa na kufanyiwa exploitation wenyewe.. hii nchi kuielewa ni vigumu sana cha msingi ni kuomba Mungu maisha yaendelee..
 
Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.

Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.

Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya sana, wameshindwa kudhibiti hali hii.
Kwa umejiekeza kwenye eneo muhimu Sana kwa maisha ya mil 60 na kwa selikali katika kipindi cha miezi maisha yamepanda Sana na uhaji wa kila siku katika familia zetu imekuwa mdebwedo !
 
Unalitengeneza vp kaka let say watu wavunjowe kirahisi unalitengeneza vp taifa kiusalama hapo
 
Kwa kweli hali ni tete.
Tozo miamala
Account bank pesa inakatwa tu kingese
Vifaa vya ujenzi ndo usiguse
Hapo salary scale imebaki vilevile kwa 6 yrs now.
Kweli ??
 
Kwa kweli hali ni tete.
Tozo miamala
Account bank pesa inakatwa tu kingese
Vifaa vya ujenzi ndo usiguse
Hapo salary scale imebaki vilevile kwa 6 yrs now.
Kweli ??
Benki zinatuibia wananchi mchana kweupe...Tena hata hawaogopi
 
Back
Top Bottom