Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,309
- 14,159
Nadhani wamesikia.Tatizo waliooanzisha huu mfumo waliwaza zaidi katika kukomoa watumishi wa umma badala ya kuwasaidia.
Huu mfumo umeundwa kwa urasimu mkubwa mno mpaka kero.
Umeangalia mtandao wako?Wiki mbili hizi Mfumo wa PEPMIS unafunguka kwa taabu sana hata kukiwa na Internet ya kutosha.
Wiki hii yote najaribu kuufungua bila mafanikio.
Wadau mnaohusika na huo mfumo wa wafanyakazi kujaza activities zao mtuambie tunafanyaje sasa ?
Cc utumishi
Mtandao wangu uko vizuri.Umeangalia mtandao wako?
Mbona mfumo hauna tatizo..
Sehemu gani unayoshindwa?
Mbna nimeingia na kutoka na hakuna shida yeyeto jaribu kuclear Cache kwenye browser yako..Mtandao wangu uko vizuri.
Sio kama pale awali, kwa sasa mfumo unafunguka kwa taabu sana.
Na hasa siku ya Alhamis, siku ambayo watumishi wengi wanaingia kujaza sub activities zao.
Hebu jaribu kuingia leo mchana uone jinsi unavyo funguka kwa shida.
Inavyo onekana kadri watumishi wanavyojiunga ndivyo mfumo unavyozidiwa nguvu.
Kama mfumo utakuwa unafunguka vizuri muda wote ni mfumo mzuri kwa kutathmini utendaji kazi.Mbna nimeingia na kutoka na hakuna shida yeyeto jaribu kuclear Cache kwenye browser yako..
Na urefresh System..
Hakuna tatizo lolote kwenye mfumo la mtandao