Ntemii
JF-Expert Member
- May 25, 2022
- 290
- 525
Habari wakuu
Tangu kuanza kwa mfumo wa utumishi portal,ambao umekua na lengo kuu la kupunguza paper work na kupunguza urasimu katika shughuli mbalimbali ikiwepo uhamisho wa watumishi.
Pamoja na mafanikio yake Mfumo huu umekua na changamoto sana hasa suala la mchakato mzima wa kupata uhamisho kwa njia ya kubadilishana(transfer exchange) kati ya watumishi.
Mfumo huu unahitaji watumishi/mtumishi kuweza kutengeneza request ambapo mtumishi mwenzake hupata hiyo request kupitia incoming exchange request ili aweze ku accept na kuanza mchakato wa maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi.
Shida kubwa na changamoto ni ambapo inakua ngumu sana kwa mtumishi kupata na kuona incoming request ya mtumishi mwenzake anayehitaji kubadilishana naye,ambapo ni nadra sana kuona incoming request na hata akiweza kuona basi ataona asizo hitaji,kwamfano mtu wa idara ya afya atapokea incoming request za idara ya elimu.
Nimejaribu mara nyingi kuwasiliana na huduma kwa wateja kuhusu changamoto hii wakashauri kuendelea ku reload mtandao ili kupata hizo incoming request,kwasasa na zaidi ya mwezi na refresh page bila mafaniko yoyote
Changamoto hii ya kimfumo imekua kikwazo kikubwa sana ili kufanikisha maombi ya uhamisho kwa watumishi ambalo ni haki ya mtumishi,hivyo tunaomba wizara iweze kushughulikia kero hii ya kimfumo.
Tunaomba msaada katika hili.