Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,073
Kweli aiseeNa kazi iendelee
Kweli aiseeNa kazi iendelee
are u sure kilichovaliwa mkononi ni msalaba??Huyu ni RA aliyekuwa mungu wa jua wa Wamisri wa kale. Inaonyesha kwamba Msalaba una historia ndefu. Ulikuwa nembo ya mungu wa kipagani kule Mesopotamia. Swastika na msalaba, kawaida kwenye mihuri na mabamba, zilikuwa ishara za kidini au za kichawi kule Babeli na Elamu katika kipindi cha mapema cha historia, lakini zimedumisha uhalisia wake katika dini ya Uhindi ya kisasa kama mahali pengine pengine."
mkuu anza kujua msalaba ni upi na unafananajeHuyu ni RA aliyekuwa mungu wa jua wa Wamisri wa kale. Inaonyesha kwamba Msalaba una historia ndefu. Ulikuwa nembo ya mungu wa kipagani kule Mesopotamia. Swastika na msalaba, kawaida kwenye mihuri na mabamba, zilikuwa ishara za kidini au za kichawi kule Babeli na Elamu katika kipindi cha mapema cha historia, lakini zimedumisha uhalisia wake katika dini ya Uhindi ya kisasa kama mahali pengine pengine."
mkuu anza kujua msalaba ni upi na unafananaje
Alikuwa ni Horus au Ra Horakhty. Mungu wa kike mwenye kichwa cha ndege aliyeweza kutumika kwenye vita na uwindaji. Lakini hilo jua wakati mwingine ni mwezi inamaanisha kuwa Horus alipoteza jicho lake kwenye vita na cha ajabu lilipona baada ya jua kuonekana au mwezi.
are u sure kilichovaliwa mkononi ni msalaba??
Aliwapeni lini? Mkisha vuta bangi mnaona picha za ajabu sana, halafu mnaziaminiWakushi tunautaka mlima wetu Kilimanjaro.
Ni milki yetu toka kwa baba yetu Solomon