Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,112
- 55,529
Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana.
Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha.
Kwa furaha niliyonayo, hapa nipo kifua wazi napata kinywaji cha lubisi kwa kusherehekea ushindi.
Kama kuna mlimbwende anatafuta watoto mapacha asisite kunitafuta.