min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,290
- 130,539
Mapacha kitu gani bwashee ,wakikua watamtafuta tu, hapo ana angaza macho kutafuta kishundu cha kushikawala hana stress za mapacha 😂😂😂
Mapacha kitu gani bwashee ,wakikua watamtafuta tu, hapo ana angaza macho kutafuta kishundu cha kushikawala hana stress za mapacha 😂😂😂
Wanawake siku hizi wanacheza faulu na sura ya mtu wa kufanana na mume wake , kaa kimasta dingiiSubiri kwanza watoke tuone sura zao zina uelekeo upi.
Haya mambo hayana muongozoNi wewe kabisa mkuu hujaona ultrasound ni sura yako kabisa 😂
Ngoja muda ufikeWanawake siku hizi wanacheza faulu na sura ya mtu wa kufanana na mume wake , kaa kimasta dingii
Mpaka mda ufike utachakaa dingiiNgoja muda ufike
Kiinua mgongo changu hakiendi bure mkuuMpaka mda ufike utachakaa dingii
Afadhali Ila kujiridhisha muhimu maana siku hizi wanatengeneza kadi mbili za clinicHuu ujasiri sina, naogopa kupoteza furaha na kujipa msongo wa mawazo
Mzee unayesubiri kufaKwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana.
Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha.
Kwa furaha niliyonayo, hapa nipo kifua wazi napata kinywaji cha lubisi kwa kusherehekea ushindi.
Kama kuna mlimbwende anatafuta watoto mapacha asisite kunitafuta.
Wanaita ile popo sijui kafanyaje...Mlitumia staili gani mleta mada.
Kwa nini mkuu, tunapambana kuacha alama duniani.Mzee unayesubiri kufa
Hapa nangojea kuletewa bili za misosi tu, sijui nitawalisha nini.
Asante sana mkuu, mambo yakienda vizuri itabidi na mwakani niongezeHongera wewe na mchepko wako
Mzee mwenzangu hao wajukuu si utawaacha kwenye taabu?Kwa nini mkuu, tunapambana kuacha alama duniani.
Hapo kwenye mapori tu😀😀Unatakiwa na wewe utoe mapacha sita, mapori ni mengi yanahitaji watu
mkuu fyatuaHapo kwenye mapori tu😀😀
Tabu ya wapi mkuu? miti ya miembe imetapakaa kila kona, inahitaji walaji.Mzee mwenzangu hao wajukuu si utawaacha kwenye taabu?