ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,689
- 6,009
Saafi Nipe rafiki yako nimfanye mchepko wanguAsante sana mkuu, mambo yakienda vizuri itabidi na mwakani niongeze
Saafi Nipe rafiki yako nimfanye mchepko wanguAsante sana mkuu, mambo yakienda vizuri itabidi na mwakani niongeze
Nitakuwa na watoto kama 27 hivi; napambana wafike 30bora umepata mapacha maan n vby sn kuf bila kuacha uzao
Kuukaribisha uzee ni ugonjwa, ngoja niishi kama vijana nile mema ya dunia.🤣🤣🤣🤣 Siku na Miaka inakimbia, perhaps na Umri unasonga lakini mkuu Equation x umegoma kabisa kuacha fix jamvini.🤣🤣
Kila la kheri kwa sura ijayo 😂Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana.
Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha.
Kwa furaha niliyonayo, hapa nipo kifua wazi napata kinywaji cha lubisi kwa kusherehekea ushindi.
Kama kuna mlimbwende anatafuta watoto mapacha asisite kunitafuta.
Kama huna hela, u-stake demu ambaye anaweza
Ni jambo la heriKila la kheri kwa sura ijayo 😂