Huu Hapa Utapeli wa Serikali ya CCM

Huu Hapa Utapeli wa Serikali ya CCM

kuna ndugu yangu alikua na mahesabu marefu sana alichoka alipopwa laki 4 😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri dah!
Halafu walivo na majibu ya dharau badala wamueleweshe wanamjibu pumba, iko siku watakuja kukutana na kichaa tuwasome kwenye vyombo vya habari.
Wana Majibu mabaya sana hao wahudumu. Ni kama tunawaomba hela ya bure
 
Mkipigiwa simu hampokei, tukija Ofisini mnaishia kusema "swala lako linashughulikiwa". Maana yake ni nini?
Mkuu,
Hapo wanakuandaa kisaikolojia ujiongeze. Wanasemaga "mkono mtupu haulambwi", na
"Hakuna mkate mgumu kwa chai"

Yaani wewe huna ila inabidi uwatafutie wao kwanza, bila hivyo utakesha!
 
Kuna Jamaa alifukuzwa kazi aka fatilia pesa zake kama 5M, akawa kashafanya research yake afungue biashara yake ya 5M

Mwisho wa siku wamempa 30% anawauliza inakuaje hii wanamjibu kirahisi tu yeye ni bachelor holder hatachelewa kupata kazi, hawa mboga mboga ni zaidi ya mashetani huyu kijana kustack tu saizi
 
shida ya taasisi za serikali , ni kwamba hawaogopi kufukuzwa kazi, na kuna vitu vingine nadhani hata mamlaka zinaelewa hivyo hao watendaji hawaoni noma kukuzungusha --- maana haiingii akilini unafika ofisi wewe kama mteja wanakuzungusha hadi unaanza kufahamu jinsi wanavyotakiwa kufanya kazi
 
Hilo la 33% ya mshahara mimi nalifahamu. Ninachotaka mimi nipewe kwa wakati.
 
shida ya taasisi za serikali , ni kwamba hawaogopi kufukuzwa kazi, na kuna vitu vingine nadhani hata mamlaka zinaelewa hivyo hao watendaji hawaoni noma kukuzungusha --- maana haiingii akilini unafika ofisi wewe kama mteja wanakuzungusha hadi unaanza kufahamu jinsi wanavyotakiwa kufanya kazi
Yaani hadi natamani nikamuuwe mmoja. hata nikipoteza maisha nadhani italeta heshima kwa waliobaki. Huu ni upumbavu usiovumilika
 
Yaani hadi natamani nikamuuwe mmoja. hata nikipoteza maisha nadhani italeta heshima kwa waliobaki. Huu ni upumbavu usiovumilika
sasa hapo mkuu si utaenda kuozea jela, ngoja wabobevu watakupa mawazo
 
Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa.

Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi.

Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge lipi?

Itoshe Kusema NSSF Ni Matapeli kama Matapeli Wengine View attachment 3542538

Mtu Kapoteza ajira, anafungua dai la fao la kukosa ajira ili angalau funguwe office ndogo lakini mnampiga chenga Kila siku, Hakuna kinachoendelea. Mnataka ajitoe muhanga apambane na nyie?

Mkipigiwa simu hampokei, tukija Ofisini mnaishia kusema "swala lako linashughulikiwa". Maana yake ni nini?

Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.

Siku zinakuja hizi taasisi za kitapeli na za kisenge zote tutazifuta kwa wino wa milele
Wapumbavu nyie.
Ujumbe umefika
 
Easy man!
Huo ndo utendaji kazi wa taasisi zote Nchini.

Siyo mahakama, taasisi za kifedha, polisi, afya na hata za kidini ukienda huko na shida yako utaambiwa subiri usiwe na haraka swala lako linashughurikiwa haijarishi itachukua miezi, miaka na hata ikibidi milele...!
Na huo ndiyo utendaji kazi wa mwafrika,
Hata ndugu yetu anayelalamika pia alifanya kazi kwa utaratibu huo, bahati mbaya amepigwa chini anakuja kutulilia Jf.
 
Easy man!
Huo ndo utendaji kazi wa taasisi zote Nchini.

Siyo mahakama, taasisi za kifedha, polisi, afya na hata za kidini ukienda huko na shida yako utaambiwa subiri usiwe na haraka swala lako linashughurikiwa haijarishi itachukua miezi, miaka na hata ikibidi milele...!
Kufanya kazi kwa mazoea, hakuna performance review, hakuna targets, hakuna professionalism, hakuna discipline, hakuna kuwawajibishwa, hakuna anayejali, ni kutumbuwa tu Kodi za raia!
Wao bora LIENDE!
BANANA REPUBLIC AT ITS BEST!
 
Back
Top Bottom