Hapa sasa umeongeaNatamani nikajilipuwe Ofisini kwao
Hapa sasa umeongeaNatamani nikajilipuwe Ofisini kwao
Kweli kabisa, tukomae na hawa mafisiemu waliojazana mule bungeni kupitisha Sheria za ovyo, huku wao miaka mitano (5) tuu chaaap bila kuchelewa washawekewa mzigo..Wabunge miaka mitano wanapewa chao mapema.
Ilibidi Wabunge wasubili nao mpaka wafike miaka 60 ndio hili jambo lingepata ufumbuzi.
Miradi ya Nssf hajuba gawiwo lilote wanalonufaika wanachama, wachawi wakubwa hao.