Huu hapa msikiti wa majini

Huu hapa msikiti wa majini

Nitakueleza baada ya kueleza wapi kwenye biblia wametaja majini👆
Ulinganifu huo unataka kutuambia Biblia nayo imesema majini ni ndugu wa wakristo kama huyo mwamba anavyosema majini ni ndugu wa waislam.
 
Hizi dini story zao zote ni za uongo uongo tu
 
Na wewe umesema sio malaika wewe unaamini ni kina nani?
katika tulioongea la kujua ni kuwa, kuna malaika alikuwa wa sifa na nyimbo mbinguni, akataka kufanana na kukaa kwenye kiti cha Mungu. ikawa ni uasi mkubwa mbinguni. Akatupwa duniani na alifanikiwa kukokota theluthi ya malaika wenzake. Akashuka nao duniani. Ndio majini unaowasikiaga. HUKUMU yao ilishatoka bado utekelezwaji tu. Ni swala la muda. Mtu akikwambia kuna jini zuri ni sawa anakwambia upande wa shetani kuna mambo mazuri. Devil worshippers nao husema shetani hana shida
 
katika tulioongea la kujua ni kuwa, kuna malaika alikuwa wa sifa na nyimbo mbinguni, akataka kufanana na kukaa kwenye kiti cha Mungu. Iiawa ni uasi mkubwa mbinguni. Akatupwa duniani na alifanikiwa kukokota theluthi ya malaika wenzake. Akashuka nao duniani. Ndio majini unaowasikiaga. HUKUMU yao ilishatoka bado utekelezwaji tu. Ni swala la muda. Mtu akikwambia kuna jini zuri ni sawa anakwambia upande wa shetani kuna mambo mazuri. Devil worshippers nao husema shetani hana shida
Swali na jibu ni tofauti mkuu

Nimekuambia kuwa wale wana wa Mungu walioshuka duniani kuna watu wanasema ni malaika ila wewe unasema sio malaika sasa je ni kina nani?
 
Back
Top Bottom