Huu hapa msikiti wa majini

Huu hapa msikiti wa majini

Hakuna majini wema na majini wabaya.
MAJINI WOTE NI WABAYA

Hakuna majini wanao mwabudu mwenyezi Mungu huyu wa kweli muumbaji wa ulimwengu wote,majini wote wanamuabudu mungu wao mwenye majina 99 ambaye ni shetani kiongozi wao.

DAH! UONGO MKUBWA SANA ..
 
ukweli wanaujua wanaosoma ILIMU YA FALAKI kisomo cha maarifa elimu ya maumbo,mbona wanafundishwa huko kuwa Lucifer alikuwa malaika mbinguni,akataka akatamani na yeye aabudiwe kama Mungu,akawaA moyoni mwake aanzishe enzi yake mbingu nyingine akawaahawiahi theluthi moja ya malaika ,malaika MIKAELI akapewa uwezo na Mungu wa kupambana na ye mana Mungu huwa hashindani na kiumbe alichokiumba yeye.

Malaika Mikaeli akamtupa lucifer mpaka kuzimu pamoja na theluthi moja ya malaika walio asi(FALLEN ANGELS) ,lucifer akaitwa shetani na malaika zake wakaitwa mashetwaini,au majini.

haya majini yalipofika duniani yalizaa na wanawake watoto marefu MANEFIL yaliyokuwa na maarifa katika uovu na makatili ,haya majini ndio yaliyowafundisha wanadamu maarifa ya UCHAWI na elimu nyingine za duniani ikiwemo kutrngeneza silaha za vita ,unajimu,sayansi,elimu ya anga,n.k

shetani ana enzi kuu mbili

kuzimu ya chini kabisa ya duniani

na angani hapo juu

wakuu wa anga,wafalme wa giza,malkia na wafalme wa mbinguni,malkia wa baharini,wakuu wa baharini ,wenye mamlaka na joka kuu LEWEYATHANI....

AISEE watu wanadanganyana sana..ila wapo wwnye ILIMU zao wanajua wanawadanganya hawa MAAMUMAS.
 
View: https://www.youtube.com/live/P3twBbUDXJA?si=hoH-FuVu6v_eieeL
 
Back
Top Bottom