Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,157
- 8,362
Ila mkuu ukiambiwa leo hii 👽 Alien wanakuja dunia na kuwasiliana na watu unaamini?Kwamba anasema majini wenyewe walimuita mtume wakutane ili aje awasomee Quran ili wasilimu?
Ila kobazi bana, inahitaji kweli ujitoe ufahamu wa Akili ndo uyaelewe hayo mambo
