Hussein Tuwa vs Eric Shigongo (Riwaya)

Tuwa ni mkali kuliko shigongo,namkubali sana yuko kwenye kiwango cha akina mtobwa,hammie rajabu,sama kitogo,na hata musiba.
 
Tuwa ni mkali kuliko shigongo,namkubali sana yuko kwenye kiwango cha akina mtobwa,hammie rajabu,sama kitogo,na hata musiba.
 
Dah jaman yan ulinganishe Shigongo na Hussein Tuwa au Amri Bawji duuh!!!!
 
H. Tuwa anaonekana anazingatia professionalism zaidi, hadithi yake ina mtiririko mzuri na scenario zake ni zinazoweza kutokea hata kwenye maisha ya kawaida.
Huyu Shiggy huwa anacheza zaidi na hisia za wasomaji, anatengeneza illusion ambazo kimsingi hazipo, kumbuka kuwa fasihi ni kioo cha jamii.
For that reason, me cast my vote for Hussein Tuwa.
 
Husein Tuwa ni habari nyingine bana,natafuta riwaya za huyu jamaa kwa anayefahamu wapi zinapatikana tafadhari tupeane taarifa

Nasikia ameshatoa kitabu cha Mdunguaji...Jaribu ku google jina lake utapata info
 
Huyu jamaa ndo aliniafanya kipindi kile niwe nanunua gazeti la udaku la Kiu, time hizo linauzwa sh. 100
 
Wote ni wazuri na wanamapungufu yao kwa mfano shigongo amekosa ubunifu ana riwaya nyigi ila zote zinafanana na visa vyake unaweza tabiri kitakachotokea, tuwa anahadithi chache zinavutia sana ila hajaimudu lugha hana misemo ya kutosha pia anarudiarudia maneno. Pamoja na mapungufu hayo kura yangu nampa h.tuwa
 
Hussen Tuwa hadithi nyingine jamani, hebu tafuteni Mdunguaji au Mtuhumiwa haloo ni balaaa mwanzo mwisho
 
Shigongo ni mzuri,ila Husseni Tuwa yuko juu zaidi.!
 
Kunfananisha Hussein Issa Tuwa na Shigongo aisee ni kumshushia hadhi Tuwa.
Tuwa mfananishe na Benny Mtobwa(RIP) au Elvis Musiba(RIP).
Tuwa anatisha.
 
Mi namkubali sana TUWA, nimesoma riwaya zake mbili tu ya MKIMBIZI na UTATA, aiseee jamaa anatisha kiukweli!
 

CHAI CHUNGU hana mpinzani!!
 
tuwa ndo noma, hadithi zake zina msisimko jamaa anajua sana
 
Story za shigongo ndefu na zinachosha
makali ni tuwa hata sultan tamba,story zake zina msisimko sana
 
mdunguaji,mkimbizi,mfadhili nk nk nk.........kaidentity ka kwake kabisa!
 
Hussein Tuwa huwezi kumfananisha na Shigongo,jamaa mkali sana,he is the best!
sijawahi kusoma za Tuwa, lakini nilisoma Shigongo - Rais anampenda mke wangu- mwisho wa siku niliboreka nikakiachilia mbali huku mwanzo aliaanza vizuri lakini hapo katikati akatoka kwenye mtiririko kama wanavyosema watu hafanyi utafiti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…