Aisee....hizi ni habari mubashara...hatari sana.Biashara ni Biashara tu kiongozi,Ukweli Wauza Nguo % Kubwa yao ni wauza Poda,Hiyo ni Gear tu ya kusafiri,We unasafiri bila na bizness si utastukiwa? Ndio maana wanazuga na maduka ya nguo,Wapi Zizzou? Mbona Amefirisika kama Biashara ya nguo inamlipa?
Mitaa yetu ile, siku hizi walivyoingia hawa wauza nguo basi tumefanywa wagenii,kiukweli mule ndo mizigo inasambazwa kimya kimya. Matokeo unawaona Kina chid mitaani nyaka nyaka huelewi kilichowapata.maduka mengi ya nguo pale kinondoni studio kona ya kwenda mwananyamala wanauza zaidi ya nguo,maidi azan wengi wapo pale ila km ni mjinga mjinga huwezi kugundua lolote pale.
Hujui kauli mbiu ya jf?huoni wenzio wanataja ?...acheni ukuda ninyi!...majipu ya kuanza nayo yapo serikalini huko!miaka yote ya uhuru washapiga sana,tuanzie huko!
[HASHTAG]#AcheniHusda[/HASHTAG]!
Blalfuu!
Njoo uchangie huku tena mkuuWewe utakuwa umeporwa demu na huyo Hussein maana unachoandika hapa ni wivu tu wa kike.
TayariSiku ikifika tutakuja kuufukua tena huu uzi
respect kwa nani??Jishi la polisi linafanya kazi kwa hisia????kweli??kama maslahi yako yameguswa atleast have some respect kwa jesh letu
Wamiliki wengi wa maduka ya nguo ya kike na kiume wengi wao ni watu wa mitkasi....tu
Ndomana mwisho wa siku utaskia flani mwenye duka "a" kakamatwa china kwa kosa la kusafirisha u buy
Ovaaa
Halafu majibu yako ni as if tayari ushatoa hukumu na sio kama unauliza kulingana na kichwa cha habari.
Dah! nimekumbuka JOSHUA FASION.. jamaa marehemu alimuachia mkewe duka kumbe walikuwa wanauza unga maskini mke sijui uoga au mbinu hafufu nikaja kusikia kakamatwa china sasa anatumikia kifungo maskini mwanamke yule mzuri katoka familia ya kilokole kaja kuolewa na muuza unga tamaa mbaya.Mitaa yetu ile, siku hizi walivyoingia hawa wauza nguo basi tumefanywa wagenii,kiukweli mule ndo mizigo inasambazwa kimya kimya. Matokeo unawaona Kina chid mitaani nyaka nyaka huelewi kilichowapata.
Ebwanae kumbe nguo zinalipa eh,ndomana naduka yanguo yapo mengi.Habari wadau,
Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.
Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
na limeshatumbukaNa hapa ndio uhondo wa jf ulipo, mzaha mzaha hutumbua usaha!
watu walikua wanapiga kazi kimya kimya na vi butiki vilikua vya kuhesabu,joshua fashion mwenyewe kaingia juzi,kulikua na kina frida fashion miaka hiyo maimatha hajazaliwa au yuko kwao huko matombo.hiyo ndo ilikua kino.siku hizi mafala hawa wakiuza bwimbi dola 1000 zinawatia wehu picha kibao insta mara video caption "i gat maney",wanasahau kwamba hawafanyi biashara halali.Dah! nimekumbuka JOSHUA FASION.. jamaa marehemu alimuachia mkewe duka kumbe walikuwa wanauza unga maskini mke sijui uoga au mbinu hafufu nikaja kusikia kakamatwa china sasa anatumikia kifungo maskini mwanamke yule mzuri katoka familia ya kilokole kaja kuolewa na muuza unga tamaa mbaya.
Dah! lakini wengi wameishia china mkuu hata kama walijificha ila walishikwa hukohuko.watu walikua wanapiga kazi kimya kimya na vi butiki vilikua vya kuhesabu,joshua fashion mwenyewe kaingia juzi,kulikua na kina frida fashion miaka hiyo maimatha hajazaliwa au yuko kwao huko matombo.hiyo ndo ilikua kino.siku hizi mafala hawa wakiuza bwimbi dola 1000 zinawatia wehu picha kibao insta mara video caption "i gat maney",wanasahau kwamba hawafanyi biashara halali.
Hahaaa lisemwalo lipo na kama halipo laja upo mdau?Washawishi kwanza Wanadaslam(wateja) watembee uchi mwaka mzima ndo tutajua kama jeuri yake ni hayo maduka. Vinginevyo mkuu unatuchosha vichwa tu!
Sana sana cha kukushaauri ni kuachana na mambo ya mtu jali hamsini zako.
Hata polisi wanafanya kazi kutegemea taarifa kutoka kwa raia. Na hzo taarifa zinaweza kuwa hisia tu.Jishi la polisi linafanya kazi kwa hisia????kweli??kama maslahi yako yameguswa atleast have some respect kwa jesh letu
Nipeni Dili masela, ila ya kulala maskini na kuamka tajiri, sijui nimcheki mchizi wangu zizzouNgwair na Chid Benz Walikuwa Wasanii Chini ya Zizzou.
Ndio Hao hao Mkubwa.Vipi kuhusu chidi mapenzi naye ni nguo tu?
kwani tangu aende china kufungasha mzigo wa nguo amerudi?Vipi kuhusu chidi mapenzi naye ni nguo tu?