Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Habari wadau,
Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.
Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Mtihani wa kufatilia maisha ya mtu nili feligi. Bwana kuna watu wanapenda fatilia maisha ya watu acheni tu alaf mara nyingi ni kwa ubaya tu.
Bwana sikieni hapa duniani hakuna kitu muhimu kama nidhamu ya pesa (matumizi). Nakubaliana na RRONDO 500%.
Ungejua hawa wauza unga wanavyoaribu jamii usingesema hayo maneno,hakuna mtu anayefatilia maisha ya mtu kiubaya,wangapi wanafanya biashara zao zisizo na shaka hapa town? yaani kuuza nguo za kupata wateja sikukuu mpaka sikukuu ndio uwe tajiri?
Yashatumbuka.Duuh majipu yatatumbuka tu....time will tell
Biashara ya nguo inalipa sana..na kama hujui ilikuwa moja vyanzo vikuu vya biashara ya watumwa huko America na ni kwa sasa ni moja ya waajiri wakubwa wa wahamiaji haramu.Ungejua hawa wauza unga wanavyoaribu jamii usingesema hayo maneno,hakuna mtu anayefatilia maisha ya mtu kiubaya,wangapi wanafanya biashara zao zisizo na shaka hapa town? yaani kuuza nguo za kupata wateja sikukuu mpaka sikukuu ndio uwe tajiri?
Bado Ni majungu eehHuu muda munaoshinda kuwapiga majungu vijana wenzenu....kama mngeutumia kwa kuwaza na kuwazua si mngebuni hata mradi wa pipi.....
Acha kuchafua watu kwenye mitandao sijui kama unamjua vizuri Husein huyo jamaa ana miaka zaidi ya 15 yupo kariakoo anafanya biashara zake hapo Kinondoni ana miaka mutatu tu au minne unajifanya unawajua watu wote acha roho ya wivu hiyo gari ndiyo unakufanya uropoke hizo Vogue za Hong Kong tu zimejaa used dola 10,000 tu tafuta kazi wenzako wanapambana wewe unapambana kwenye mitandao ya kijamii.
Hivi Huyo Hussein unayemshabulia humu JF na kumchafua labda tufahamishe anamiliki nini cha maana?
Still interested?Asikwambie mtu biashara ya ngada inalipa sana, Sema sijapata fursa..............
Watoto wadogo wa juzi wametoka kimaisha huku mitaa ya magomeni...........
High risk high income........
Atimae usaha umetumbuka sasa!!Na hapa ndio uhondo wa jf ulipo, mzaha mzaha hutumbua usaha!
Jishi la polisi linafanya kazi kwa hisia????kweli??kama maslahi yako yameguswa atleast have some respect kwa jesh letuile list ya Makonda imetengenezwa kwa kutumia hisia za watu kutoka huko mtaani kama huyu aliyeanzisha hii thread.
watu wanamuona jamaa fulani mtaani mambo yake yapo vizuri....wanaanza oh mwizi, fisadi, drug dealer, etc.
hata Makonda mwenyewe katajwa, tena ndani ya bunge. so, hana tofauti na akina Hussein Pamba Kali kama kigezo ni hisia tu.
Jishi la polisi linafanya kazi kwa hisia????kweli??kama maslahi yako yameguswa atleast have some respect kwa jesh letuile list ya Makonda imetengenezwa kwa kutumia hisia za watu kutoka huko mtaani kama huyu aliyeanzisha hii thread.
watu wanamuona jamaa fulani mtaani mambo yake yapo vizuri....wanaanza oh mwizi, fisadi, drug dealer, etc.
hata Makonda mwenyewe katajwa, tena ndani ya bunge. so, hana tofauti na akina Hussein Pamba Kali kama kigezo ni hisia tu.
Kwani uamini kuwa biashara ya nguo inaweza kukupa hela ya gari kama hilo?
Hatimaye siku yenyewe imefika!! Na uzi umefukuliwaSiku ikifika tutakuja kuufukua tena huu uzi
Biashara ni Biashara tu kiongozi,Ukweli Wauza Nguo % Kubwa yao ni wauza Poda,Hiyo ni Gear tu ya kusafiri,We unasafiri bila na bizness si utastukiwa? Ndio maana wanazuga na maduka ya nguo,Wapi Zizzou? Mbona Amefirisika kama Biashara ya nguo inamlipa?Biashara ya nguo inalipa sana..na kama hujui ilikuwa moja vyanzo vikuu vya biashara ya watumwa huko America na ni kwa sasa ni moja ya waajiri wakubwa wa wahamiaji haramu.