Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?


Relax Kijana hakuna aliyechafuliwa hapa,Kuwa na Miaka mingi kwenye biashara si kigezo cha kusema kwamba inatajirisha,tumeuliza ni nguo tu na kuuza viatu tu?
 

relax kijana hakuna aliyechafuliwa hapa,kuwa na miaka mingi kwenye biashara si kigezo cha kusema kwamba inatajirisha,tumeuliza ni nguo tu na kuuza viatu tu?


mkuu...sijui unafanya shughuli gani,lakini thread yako inawakilisha mawazo ya wavaa ytai wengi. Mimi ningekushauri kitu kimoja fanya utafit wako, nenda kariakoo kama unamjua mtu anauza nguo kakae dukani kwake kariakoo kwa masaa kadhaa halafu angalia biashara inavtyokwenda utashangaa na hutaamini hawa wauza nguo wanavyotengeneza pesa.

Najua wengi mtasema kama inalipa hivyo kwanini wewe au yule asifanye,biashara sio ya kila mtu tena biashara ya nguo iko very complicated, mimi nafanya biashara naamini siku moja itakuja thread kama hii humu kwa watu kuhoji ni biashara ile ile au kuna kingine.

Nina jamaa yangu yuko kariakoo,nilimuona wakati anaanza kuuza nguo,alianza na hela ambazo wavaa tai wengi wanakopa kununulia magari sasa hivi jamaa analeta mzigo wa $$$$$$$$$$$$ nyingi sana. Nilijaribu kuingia ila iko too complicated inahitaji kushikwa mkono,kujifunza nguo na sio nguo unazopenda wewe bali nguo wanazopenda watu,simple kusema ila sio rahisi.

Hao akina hpk,robby one ni wadogo sana kuna watu wanauza nguo balaa,mtu alianzia kutandaza nguo mtaa wa kongo sasa hivi ana bilions tzs,kama humjui lazima useme ni ngada,watu wanajituma mkuu na nguo zinalipa,wanauza nguo mara hata 20 yea bei wanazonunua jkariakoo.

Ila sasa hivi na serikali ya jpm hata mimi nawasubiri nione biashara yao itaendaje maana enzi za hsc wamepiga sana hela, vitu kama vogue kwa hao jamaa ni kawaida sana.

Muuliaze lara 1 anatamani aache kazi afanye hii biashara ila ina tricks zake zinampiga chenga
 
Last edited by a moderator:

Itafahamika hata Tippo Zizzou Fashion alikuwa Hivi Hivi na Biashara ya kuuza nguo na viatu sasa Hivi limebaki jina.
 
Last edited by a moderator:
Itafahamika hata Tippo Zizzou Fashion alikuwa Hivi Hivi na Biashara ya kuuza nguo na viatu sasa Hivi limebaki jina.

Nini kimemtokea? btw sisemi wauza nguo wote wako clean. ila ukijipanga na ukijua unafanya nini unaendesha vogue kwa kuuza nguo.
 
huyo ----- tu kazi yke kumpamba makonda n kujisifia anaingiza mabilioni wakati kashindwa malizia pagala lake nyumba inajengwa miaka 20 utafikiria daraja la dar 2 znz
This is very personal mshkaj. Anaweza kutumia hata miaka 50 kujenga nyumba yake. Achana na personalities
 
Itafahamika hata Tippo Zizzou Fashion alikuwa Hivi Hivi na Biashara ya kuuza nguo na viatu sasa Hivi limebaki jina.

Halafu majibu yako ni as if tayari ushatoa hukumu na sio kama unauliza kulingana na kichwa cha habari.
 

Kumbe ile sehemu yenye duka pale tegeta ni yake. Duuu, HPK noma.

Hayo yanaitwaga maduka ya kunawia uso yaani asubuhi na wewe unaamka unaoga/unanawa uso unawahi ofisini.

Fungua na wewe la kwako uone inavyolipa
 
umeonaee, kama mbunge wa zamani wa kino anazugia uza uza ya magari

Hizo yard za magari ni zuga tu, hayo nagari ndiyo container ya sembe kutoka huko ughaibuni.

Utashangaa gari ya 10m unaweza uziwa 6m sasa na wewe kafunfue yard uagize nagari uuze uone faida yake inavyolipa?
Utakimbia mji mchana kweupeee
 
Mtihani wa kufatilia maisha ya mtu nili feligi. Bwana kuna watu wanapenda fatilia maisha ya watu acheni tu alaf mara nyingi ni kwa ubaya tu.

Bwana sikieni hapa duniani hakuna kitu muhimu kama nidhamu ya pesa (matumizi). Nakubaliana na RRONDO 500%.
 
Last edited by a moderator:
Hizo yard za magari ni zuga tu, hayo nagari ndiyo container ya sembe kutoka huko ughaibuni.

Utashangaa gari ya 10m unaweza uziwa 6m sasa na wewe kafunfue yard uagize nagari uuze uone faida yake inavyolipa?
Utakimbia mji mchana kweupeee

**********
duuuh aiseee watu wana technic balaa...sasa hapa nilikuwa nawaza tu kwamba hayo madawa yanawekwa kwenye boneti? ndani ya seat cover? uvunguni mwa gari ama? halafu ukizingatia gari lipo ndani ya kontena....kwel hii biashara iko very talented....kuiua ni ngumu.
 

Mtafute cynthia masasi atakupa jibu!
 

Sehemu za kuweka sembe mbona zipo nyingi sana kwenye gari, unashindilia sembe ya kutosha.

Kuna wayemen fulani hapo Dar ndiyo zao hizo.
Hii biashara ni pana sana mpaka watu wa usalama wa taifa wanafanya sana tu
 
Kumbe ile sehemu yenye duka pale tegeta ni yake. Duuu, HPK noma.

Hayo yanaitwaga maduka ya kunawia uso yaani asubuhi na wewe unaamka unaoga/unanawa uso unawahi ofisini.

Fungua na wewe la kwako uone inavyolipa

Wewe unafikiri ofisi ni kule NSSF,PSPF,PWC,NBC,STANBIC,BARCLAYS mlipoajiriwa na kuvaa tai? Watu wana hizo hizo unazoita ofisi za kunawia uso na wanatengeneza pesa mara zaidi ya 10 ya mwajiriwa tena mwajiriwa wa seniotr level. Endelea na dharau zako ajira itakukomboa.
 
Una busara kiongozi. Bora kidogo cha kila siku kuliko kikubwa cha siku moja.
 
Hivi Huyo Hussein unayemshabulia humu JF na kumchafua labda tufahamishe anamiliki nini cha maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…