Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Jf inaangusha watu sana na ukianzwa kusemwa hapa ujue umekwisha ata uwe na undugu na mkuu wa kaya HPK kama ni nguo haya ila kama ni unga umekwisha jf iliangusha mawazir wa serikali Mara kibao ndio kuna wabunge wameangushwa na jf muulize yule wa kinondoni wa fisiem alianza kusemwa hivyo hivyo mpaka wakamuangusha
 

Samahani bro, sio Mboo ndefu! Ni mbio ndefu, over!
 


Ungekaa kimya tu.
 
Last edited by a moderator:
Nnaona na wewe kama umeanza vile kutupa jiwe kwenye giza likimpata mtu wataanza kuja kuropoka huku
Wa kwanza huyu:

Washawishi kwanza Wanadaslam(wateja) watembee uchi mwaka mzima ndo tutajua kama jeuri yake ni hayo maduka. Vinginevyo mkuu unatuchosha vichwa tu!
Sana sana cha kukushaauri ni kuachana na mambo ya mtu jali hamsini zako.
 
Tabia ya kusema eti kila mtu aangalie hamsini zake inaligharimu taifa hili. Watu wanajua kabisa kwamba fulani anakwepa kodi au fulani anauza unga, ila kila mtu anashika hamsini zake. Ngoja pale mwanao awe teja ndiyo utajua ni hamsini zako au za hussein. Nachukia sana maneno WIVU WA KIKE na SHIKA HAMSINI ZAKO.
 
Mkuu huwa nasema Hata kma utalindwa na kusujudiwa licha ya kwamba jamii inajua fika mtu fulani anauza madawa!
lakini siku zao zikifikaga wanaumbuka nje ya nchi au ndani....ndy unaskiaa fulani kakamatwa nchi fulani na kafungwa.
na watu kama hao wako wengi tu wamepigwa ban nje.
Hao wanaotetea ujinga huu labda hawajui madhara ya hii kitu au kuwa na ndg na jamaa waloyojiingiza ktk utumiaji
 
hussein mkangala mtoto wa mjini kazaliwa magomeni mikumi mtaani kwetu anajulikana kuwa ni muuza unga ila hakuna mwenye ushahidi alianza na kaduka kinondoni manyanya,sasa ana maduka kariakoo,kinondoni,sinza na tegeta.namfahamu vizuri sana
Ukishapata taarifa za kijana anaitwa jina maarufu la KAZI pale mwananyamala kwa mama Zakaria utapata ukweli wote was Hussein. KAZI ni mmoja ya wauza unga maarufu eneo la mwananyamala, ni part of Hussein business.
 
Ukishapata taarifa za kijana anaitwa jina maarufu la KAZI pale mwananyamala kwa mama Zakaria utapata ukweli wote was Hussein. KAZI ni mmoja ya wauza unga maarufu eneo la mwananyamala, ni part of Hussein business.

**************
Duuuh kilishanuka, soon jamaa atadrop from husein pamba kali to husein maduka kufungwa.
 
Washawishi kwanza Wanadaslam(wateja) watembee uchi mwaka mzima ndo tutajua kama jeuri yake ni hayo maduka. Vinginevyo mkuu unatuchosha vichwa tu!
Sana sana cha kukushaauri ni kuachana na mambo ya mtu jali hamsini zako.

Wewee hamna mtembea uchii kariakooo manzese zipo, hy jamaaa achungunzwe maaan sembe siku hz zinasababisha watt wanaua wazazi wao!!!
 
Kakamatwa huko buruda Italy, kuna wakati huyo dem alikuwa anaenda sana kwa Pele alipiga trip kama 4 hivi alikuwa ana buruzaaaa mzgo na kuja nao bongo.
Narudia tena hata kama tanzania utalindwa lkn iko siku nje huko utanasa tu!

sana tu mjomba
 

Mkuu acha tu,ni kuomba ndugu yako asiingie kwenye utumiaji wa poda maana ni hatari sana,Naiomba serikali itumbue hili jipu,wauza sembe wanabebwa na vigogo baadhi serikalini,kuanzia airport na huku uraiani wanabebwa na vigogo wa kanda maalumu.

Magufuli mulika huku panapoteza sana nguvu kazi ya taifa na kunufahisha watu wachache tu Ila wengi wanaumia.
 
Jina lake lingine ni maulid ndo oficial name yake so migration hawajui jina la hussein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…