Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

chinembe,

Sheria ya Zanzibar inamzuia mbara kuwa mgombea au mpiga kura. Na mzanzibar awe ameishi mfululizo angalau miaka 5. Jamaa alikuwa mbunge wa mkuranga. Hana haki za kuwa mpiga au mpigiwa kura Zanzibar.

Hili si moja ya mambo ya kuungano. Kuna ZEC na NEC!
 
CCM wakimtaka wanaweza kumpachika Uzanzibari hata Serukamba na kuwa Rais wa Zanzibar
Awamu ijayo atapachikwa Kusheku a.k.a Msukuma au yule waziri kichaa (mpi ma samaki wa kantini kwa rula) kuwa rais wa Zanzibar
 
Subiri mvunjwe miguu. Ile ya Mkapa itakuwa cha mtoto.

Kwa taarifa yako maeneo zinakoanzia vurugu wakati wa uchaguzi Zanzibar yanajulikana na kazi ya kuwazima ilashafanywa kitambo sana.
Yakhe usitutishe siyeee. Hatutaki kuwa koloni la bara.
 
Sheria ya Zanzibar inamzuia mbara kuwa mgombea au mpiga kura. Na mzanzibar awe ameishi mfululizo angalau miaka 5. Jamaa alikuwa mbunge wa mkuranga. Hana haki za kuwa mpiga au mpigiwa kura zanzibar.

Hili si moja ya mambo ya kuungano. Kuna ZEC na NEC!!
Una habari kwamba kwa Mwinyi ni Zanzibar na wana ardhi kubwa sana Zanzibar? Kama sio wazanzibari imekuwa je wakamiliki hayo maeneo?

Hivi huwezi kuishi Zanzibar ukafanyia kazi Dar. Mbona wabunge wengi wanaishi Dar na sio majimboni kwao?

Maana ya kuishi Zanzibar unaielewa vipi?
 
chinembe,

Mbona unakiwa mbaguzi wewe?

Wapi sheria inakukataza kwenda kugombea Tarime wakati wewe ni Mmakonde?
 
chinembe,

Uweli ni kwamba mimi pia hichi kitu sijakipenda hata kidogo. Wakati Husseni anafanyiwa mipango kuhamia ZnZ kugombea uwakilishi mimi nilikuwa nafanya kazi kule ZnZ na nilikuwa naishi jirani na nyumbani kwa baba yake pale jirani na makaburini na niliona jinsi baba yake alivyokuwa anahangaika huku na kule na kuwaita wazee nyumbani kwake kila siku kwa muda mrefu.

Baba yake aliweka kambi pale ya kudumu. Actually Hussein hakuwa anakubalika lakini ililazimishwa na hata urais wake ni wa kulazimisha sio kwamba Wazanzibari wanampenda hata kidogo lakini atapewa urais, Maalim asahau.
 
chinembe,

Sheria ya Zanzibar inamzuia mbara kuwa mgombea au mpiga kura. Na mzanzibar awe ameishi mfululizo angalau miaka 5. Jamaa alikuwa mbunge wa mkuranga. Hana haki za kuwa mpiga au mpigiwa kura Zanzibar.

Hili si moja ya mambo ya kuungano. Kuna ZEC na NEC!

Naona ACT wakimwekea pingamizi... La kutokikidhi sifa za mgombea...
 
Hodiiiii

Wahafidhina Wa Zanzibar Wafikie Mwisho Wa Malumbano Ya Watu Wa Mrima Na Watu Wa Marashi Ya Karafuu.....

Kiasili Kisiwani Hakukai Watu

Wengi wa Wakazi Wa Visiwani Ni wahamiaji.

Kwa Mfano Angalia Pale Malagasy(Madagascar).
Watu toka Visiwa vyya Mashariki ya Mbali, kule Malaysia,mpaka Indonesia walihamia MADAGASCAR wakakutana na wahamiaji wenzao kutoka Tanganyika na Msumbiji, wakaoleana na KUZAANA.

Hoja ya Ajabu Kabisa, Ni pale WAHAFIDHINA wanapozodoana kwa kuwahalalisha wahamiaji walioingia Zenji vipindi virefu kuwapita wengine.

Kwani Wako Waliohamia karne ya 11,13 kutoka kuitwako KUNDUCHI ya Dar es Salaam na kufikia pale MAKUNDUCHI ya mwakakogwa.

Ukija Kwa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi,Ni mwendelezo uleule wa Uhamiaji.Sasa utamzodoa Mzee Mwinyi kuwa ana uwalakini kwa kuwa Ni Mzanzibari kisa tu alihamia kule miaka ya 30 mwanzoni na SI karne ya 17?

Hapohapo mama mzazi wa Dr. Hussein inamyukinika kizazi chake ni cha kule toka karne ya 15. Sasa MHAFIDHINA anapataje nguvu za kutoa KEDI kwa Dr. Hussein!

Kama ndivyo, Wamarekani wasingeweza kumchagua OBAMA mtoto ambaye baba yake aliingia US 50s Kama sijakosea,huku mama yake akiwa mhamiaji wa Muda mrefu, Sembuse Mwafrika mwenzetu ambaye asili ya baba zake Ni MKURANGA, pua na Mdomo na Zanzibar!

Wahafidhina waache KUJICHANGANYA mbona Mambo yenyewe ni mepesi tu pale wakiamua kuweka CHUKI KOKO pembeni!!
 
Akimaliza ngwe yake, wanampeleka Bashite akawe Rais wa Zanzibar. Unyama unyama tu hapa.
 
Akimaliza ngwe yake, wanampeleka Bashite akawe Rais wa Zanzibar. Unyama unyama tu hapa
Vinafananaje Sasa?!!

Wako WASUKUMA Waliohamia Zanzibar kitambo mfano mh.Rais alimsemea Baba Yake Mdogo, lakini si Ukoo wa Huyo umsemaye hapa!!
 
Hodiiiii

Wahafidhina Wa Zanzibar Wafikie Mwisho Wa Malumbano Ya Watu Wa Mrima na watu Wa Marashi ya Karafuu.

Kiasili Kisiwani Hakukai Watu.

Wengi wa Wakazi Wa Visiwani Ni wahamiaji.

Kwa Mfano Angalia Pale Malagasy(Madagascar).

Watu toka Visiwa Vya Mashariki Ya Mbali, Kule Malaysia,mpaka Indonesia walihamia MADAGASCAR wakakutana na wahamiaji wenzao kutoka Tanganyika na Msumbiji,wakaoleana na KUZAANA.

Hoja ya Ajabu Kabisa, Ni pale WAHAFIDHINA wanapozodoana kwa kuwahalalisha Wahamiaji Walioingia Zenji Vipindi Virefu kuwapita wengine.

Kwani Wako Waliohamia karne ya 11,13 kutoka kuitwako KUNDUCHI ya Dar es salaam na kufikia pale MAKUNDUCHI ya mwakakogwa.....

Ukija Kwa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi,Ni mwendelezo uleule wa Uhamiaji.Sasa utamzodoa Mzee Mwinyi kuwa ana uwalakini kwa kuwa Ni mzanzibari kisa tu alihamia kule miaka ya 30 mwanzoni na SI karne ya 17?!

Hapohapo mama mzazi wa Dr.Hussein inamyukinika kizazi CHAKE Ni Cha kule toka karne ya 15....Sasa MHAFIDHINA anapataje nguvu za kutoa KEDI kwa Dr.Hussein?!

Kama ndivyo,Wamarekani wasingeweza kumchagua OBAMA mtoto ambaye baba yake aliingia US 50s Kama sijakosea,huku mama yake akiwa mhamiaji wa Muda mrefu,Sembuse Mwafrika mwenzetu ambaye asili ya baba zake Ni MKURANGA,pua na Mdomo na Zanzibar?!

Wahafidhina waache KUJICHANGANYA mbona Mambo yenyewe ni mepesi tu pale wakiamua kuweka CHUKI KOKO pembeni?!

Wenzio.wanazungumzia UZAMIAJI wewe unazungumzia UHAMIAJI
 
Wenzio.wanazungumzia UZAMIAJI wewe unazungumzia UHAMIAJI
Ligha ya KISIASA TU.

Ngoma Ngumu Kwa ACT Sasa wanatafuta VISINGIZIO.

Japo Mimi SI support CHADEMA,hivi itokee NEC waseme TUNDU LISSU Hana sifa za kugombea URAIS,Je havitakuwa Ni VISINGIZIO KOKO vyenye msukumo wa hovyo?

Je, NEC wataeleweka na Watu wenye kupenda MANTIKI ZA HOJA.

Karibu tuumwe na Mbu,hapa Getini kwa Boss Wangu Mhindi Mikocheni A!!
 
Ligha ya KISIASA TU.

Ngoma Ngumu Kwa ACT Sasa wanatafuta VISINGIZIO.

Japo Mimi SI support CHADEMA,hivi itokee NEC waseme TUNDU LISSU Hana sifa za kugombea URAIS; je, havitakuwa Ni VISINGIZIO KOKO vyenye msukumo wa hovyo?!

Je, NEC wataeleweka na Watu wenye kupenda MANTIKI ZA HOJA.


Karibu tuumwe na Mbu, hapa Getini kwa Boss Wangu Mhindi Mikocheni A!!

Mi nimekosoa lugha tu hao kina lisu watajijua wenyewe.
 
Subiri mvunjwe miguu. Ile ya Mkapa itakuwa cha mtoto.

Kwa taarifa yako maeneo zinakoanzia vurugu wakati wa uchaguzi Zanzibar yanajulikana na kazi ya kuwazima ilashafanywa kitambo sana.

1972 unajua vurugu ilianzia wapi ?? kule kule kwa watuliza vurugu. DAWA YA MOTO NI MOTO
 
Back
Top Bottom