Hussein Macheni Yuko Wapi Siku Hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hussein Macheni Yuko Wapi Siku Hizi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ndallo, Jul 22, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba kuuliza huyu jamaa yuko wapi?
  [​IMG]
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nenda kwa Macheni pale Magomeni utamkuta
   
 3. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Au muulize David Mataka
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenifurahisha!! Jamaa bado yumo!??
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mjini kuna mambo,na huyu ni muhanga wa Mataka jamani!
   
 6. K

  Kasanga Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yupo! ukitaka kumuona nenda Kinondoni kwa mayanya amefungua Pub na mkewe Ashura!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu kitambo sana...
   
 8. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sasa unamuulizia Hussein wa nini? Au na wewe taste zako ni wanaume? ungemuulizia Ashura ningekuelewa zaidi
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,745
  Trophy Points: 280
  Hivi nae anapumuliwa huyu?
   
 10. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Bibie unauliza Msikiti Saudiarabia
   
 11. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Kwa nini muna discuss watu humu? Hayo mambo yake anayofanya huko nje hayana umuhimu kitaifa wala hayatusaidii kuondoa umaskini.

  Wacheni umbeya na kushabikia mambo yasiyowahusu.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yap thats right yupo kinondoni manyanya mtaa kama wa tatu hivi ana Pub yupo pale sana!!!!!
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  leo nimepishana nae Airport Dsm, Akienda kupanda KQ kuelekea NBO, KISHA mombasa kwa rafikize
   
 14. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  yupo sana siku hizi anauza bia pale sebuleni kwake migo migo,na saa nyingine kwa mkewe ashura kino
  mataka alijiweka sana hapo
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,745
  Trophy Points: 280
  aseee na ndo manake kajipiga makarolight na maminyororo kivile wababa wa namna hii wananikasirisha,asa ashura wa kaz gani? Aaaaggggghhhhrrrrrrr! Umeniharibia siku loool
   
 16. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yaani dada Flora huyo kaolewa mitaala na General Defao Wa DRC. kazi kweli kweli, Real Man hawezi kujichubua vile na kusheheni minyororo. Ashura ni Wa show off tu lakini pale anapojitaji shughuli humuaga Macheni na kwenda kupata msuguo Wa kikweli kwa mkali wake. Wala Hilo halina mjadala
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,745
  Trophy Points: 280
  nyambaf zake jitu zima linafanya upupu
  shame on him
   
 18. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mzuri kitu whiteeeee nimempenda jamani
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  nyie hussein hana michezo hiyo sema usmart wake ndio unampoza,jamaa anajipenda sana toka enzi hizo,mimi nimekaa nae beach sana pande za Athens,yeye na slim a.k.a.checkbob maarifa ni watu wa kujipenda toka enzi zile kule na waliwala sana watoto wa kizungu kutoka na utashati wao,hizi maisssue za uchoko sio kweli.
   
 20. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kwa usmart jamaa namkubali sana tena sana ila kujaribu kumsafisha kama haliwi ndugu yangu hapo sijui utumie neno gani ueleweke kwani hamna wasiyejua kama jamaa analiwa!!!!siyo shoga ila analiwa na kula sana watoto wa kike haibadilishi uliwaji wake!
   
Loading...