Nchimbi yuko wapi au yupo kizuizini? Tafadhali tunaomba ujitokeze

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,922
Reaction score
18,562
Nchimbi yuko wapi msije kua mmemweka kizuizini huyu jamaa tunaomba ujitokeze wananchi wanataka kujua nini kimetokea mpaka umejiuzulu. Je hiyo barua umeandika wewe maswali ni mengi sana tunaomba ujitokeze.
 
Nipo salama mkuu, asanteni watanzania kwa upendo wenu ila pambaneni kupata katiba mpya.
Mimi Dr E.Nchimbi.
 
Nchimbi yuko wapi msije kua mmemweka kizuizini huyu jamaa tunaomba ujitokeze wananchi wanataka kujua nini kimetokea mpaka umejiuzulu. Je hiyo barua umeandika wewe maswali ni mengi sana tunaomba ujitokeze.
Kwa utawala huu unaofanana na wa ma-boko haramu what do you expect?
Utekaji, uuzaji, wizi nk ni kawaida sana.

Tanganyika is officially Zanzibar's colony.
 
Mkamu wa rais anezaje kushindwa kujitokeza na kutoa mkanganyiko kwamba niko salama nimejiuzulu kutokana na misimamo yangu na ni mihumi katika maisha watu kutofutiana mitazamo hivo. Sasa mtu upo kimya na nyie waandishi wa habari kavu sana mnashindwa kwenda kwa Nchimbi kuona yupo au hayupo
 
Back
Top Bottom