Hata kama yuko Hai UKIMWI wake unaonekana mkali balaa😁😁😁Kuna upotoshaji mkubwa sana eti rachel yupo hai hiyo si ni AI kabisa?
Uchawa haulipwiHuyu jamaa yuko wapi siku hizi ? Au alikuwa timu yuda?
Huwa najiuliza hivi Dudubaya angemuoa Rachel ingekuwaje huyo mtoto wao?Kuna upotoshaji mkubwa sana eti rachel yupo hai hiyo si ni AI kabisa?
Jibu zuriWanakuwaga na likizo piah
Hakuna AI kabila hiyo.Kuna upotoshaji mkubwa sana eti rachel yupo hai hiyo si ni AI kabisa?
Anaitwa Gerson Msigwa msemaji mkuu wa serikali.siyo mimi.Kwani wewe ni ndio gilishoni?
Gilishoni kawa mpole kama katumbukizwa kwenye pipa la oil kama si greaseHuyu jamaa yuko wapi siku hizi ? Au alikuwa timu yuda?
Hapo wange mwahar beerr ninge waelewa majiii?View attachment 3692444Jamaa yuko bize kwenye mapokezi ya "Shujaa wa Taifa"
Water salute inafanyiwa ndege mpya inapowasili, hayo ni maigizo ya ccm.Hapo wange mwahar beerr ninge waelewa majiii?