Dk.Magufuli is very smart hawezi kunasa kwenye mitego ya kijinga, anacho fanya anawapa enough rope wajimalize wenyewe - kwa nini wanashindwa kimu-emulate Mzee Mangula aliwahi kutemwa na uongozi wa hawamu ya nne mbona alikaa kimya na kijikita katika kilimo cha nyanya huko Iringa mpaka alivyo kuja kuhiburiwa juzi juzi tu!
Kwa nini nyinyi mnapania ku undermine efforts za Dk.Magufuli openly, uchaguzi ulishapita tafuteni shughuli nyingine ya kufanya sio lazima uwepo Serikalini miaka nenda rudi - mwacheni mwenzenu nae atimize wajibu wake bila ya kuingiliwa ingiliwa ovyo kwa hoja zisizo na mantiki, watu wanavusha maelfu ya makonteina bila ya kulipia kodi nyie mnaona hilo sawa wapewe sijui amnesty/ruhusa walipie wanapo jisikia as if Serikali hipo likizo!
Haya akitaka kuwashughulikia wafanyakazi wahujumu uchumi nyie mnawatetea eti anawaonea kwa kuwa hakuwatehua - hii inaingia akili kweli? Twambieni ukweli kama jamaa zenu waliokuwa wamewekwa kwenye mission critical positions wanekumbwa na tinga tinga ndio maana mnamsena sema Magufuli bila simile.
Mkumbuke kila utawala na zama zake, msitake kumvurugia mwenzenu kwa ajenda zenu za ajabu, hoja zenu zingeletwa na vyama vya upinzani ningeweza kuelewa, lakini wanapo kuja ma stalwalt wa CCM na kuanza kumshambulia Mzalendo Magafuli nawashangaa sana - frankly speaking nia zenu sio nzuri hata kidogo si kwa Chama chenyewe wala Taifa kwa jumla.