Hussein Bashe: Membe amuache Rais Magufuli afanye kazi

Hussein Bashe: Membe amuache Rais Magufuli afanye kazi

Kwenye uk. wake wa facebook Mb. Bashe amesema yafuatayo kuhusu B.Membe:

,,Amekua mmoja wa mawaziri walioua foreign relation yetu wakati wake kumekua na malalamiko mengi juu ya mis use of funds katika wizara yake, kipindi chake Bernad Membe safari za nje walisafirishwa ma girlfirend kwa kutumia Pesa za Umma".
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh ccm bwana,hao ndio waliokuwa wanasafiri kwenda nje kuliko safari za kwenda vijijini kwao kuwasalimia mama zao?
 
Statement imekaa kishabiki, imejaa hasira na chuki..., Bado maumivu yapo kutokana na yale makundi ndani ya CCM...,
Yanawaathiri wahusika!
hakika upo ndotoni weye .................amka mkuu , It is tthe new dawn!
 
Asijihami .........Rais wangu JPM mulika na administration ya huyu Vasco da gama the III ...................tumbua jipu lake
Mkuu naona hujui siri za watawala,kwa taarifa yako pombe hawezi kuigusa familia ya rais yeyote mstaafu
 
Membe Ni mnafiki Kama unavyosema na msanii anaenda na upepo unavyovuma. Mwanzo alisifu raisi kuzuia safari kwa kusema walikuwa wanapishana angani! Sasa amekuja tena na mpya! Anaweweseka
Kwel kabisa
 
Mkuu umepaniki kunijibu,au umelenga kumjibu mwingine? Kama nu mimi rudia kunisoma vizuri, ila usiwe na njaa wala mning'inio! Hakuna popote ambapo nimesema Magufuli aint smart. Furthermore, being Smart is one thing, being extra careful is another thing. Hakuna popote ambapo nimediscuss juhudi za Magufuli, povu la nini? Nilichokizungumza ni uwepo wa zile kambi hasimu ndani ya CCM ambazo hazijafa bado. Magufuli si sehemu ya Kambi hizo, na sii sehemu ya ugomvi wa kambi hizo, ila ni ugomvi ambao ukiachwa uendelee utakitikisa chama na serikali, hiyo ndiyo iliyonifanya niseme Magufuli awe makini zaidi ktk ugomvi huo wa kambi kinzani ndani ya chama. Punguza kukurupuka, kama huelewi hadi hapo basi I'll recommend you to Mirembe!
Adui muombee njaa nasi kwa upande wa ukawa ndio tupo pembeni juu ya kigoda tuna piga miruzi na kutingisha miguu wakati ccm mnatoana macho
 
Adui muombee njaa nasi kwa upande wa ukawa ndio tupo pembeni juu ya kigoda tuna piga miruzi na kutingisha miguu wakati ccm mnatoana macho

mtakauka midomo, CCM inamechanism yake ya rejuvination sio nyie nafasi ya katibu mkuu mnaitafutia kikcks mpaka leo!
 
hata nikifa dk hii....najua nyuma nimeacha Tanzania yenye tumaini jema kwa kizazi kijacho
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh, ubaguzi wenu sasa umewageukia nyie wenyewe kwa wenyewe mmeanza kubaguana
 
Mkuu umepaniki kunijibu,au umelenga kumjibu mwingine? Kama nu mimi rudia kunisoma vizuri, ila usiwe na njaa wala mning'inio! Hakuna popote ambapo nimesema Magufuli aint smart. Furthermore, being Smart is one thing, being extra careful is another thing. Hakuna popote ambapo nimediscuss juhudi za Magufuli, povu la nini? Nilichokizungumza ni uwepo wa zile kambi hasimu ndani ya CCM ambazo hazijafa bado. Magufuli si sehemu ya Kambi hizo, na sii sehemu ya ugomvi wa kambi hizo, ila ni ugomvi ambao ukiachwa uendelee utakitikisa chama na serikali, hiyo ndiyo iliyonifanya niseme Magufuli awe makini zaidi ktk ugomvi huo wa kambi kinzani ndani ya chama. Punguza kukurupuka, kama huelewi hadi hapo basi I'll recommend you to Mirembe!
Nililenga kuwajibu wengine.
 
Back
Top Bottom