Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Halaf biharusi inabidi atoe rushwa kwa lawyer ili ndoa idumu kwa sheria za kiserikali. Hapa niko serious kabisa
khaaaa! Lawyer usiharibu shughuli.
Halaf biharusi inabidi atoe rushwa kwa lawyer ili ndoa idumu kwa sheria za kiserikali. Hapa niko serious kabisa
Uporoto aliniPM nimkopeshe hela ya kununulia kamba. Sasa sjui anafuga mbuzi au ndio anataka kujimaliza? tuongezeni maombiHivi umeinana na upiroto?
Hapa inabidi utoe ufafanuzi wa aina ya rushwa unayoitaka.Halaf biharusi inabidi atoe rushwa kwa lawyer ili ndoa idumu kwa sheria za kiserikali. Hapa niko serious kabisa
nimeshakoma erick52, ila huyu uporoto atakuwa kalogwa tu, unamuachaje leo mke kesho anachumbiwa na we bado hushtuki?
Baby welcome here nikupe summary wala usisumbuke kusoma pages hizi 34,pages 28 ni pumba za erick,mtei,kongosho na sweetlady,Judgement kamtokea Husninyo naye kakubali,mimi nikathibitisha kuachana kwa amani na kuwapa e-mail yangu mpya mjadala ukaisha kinachoendelea ni chatter yaani kuongea nothing important a.k.a kelele.i love you canta lile pochi jekundu ntakuletea kesho
khah! Shabash
uko nyuma ya Ricky?
Happy for u 2. Nitakuja na kikundi kizima cha mnanda wa tandale, hakikisha Judgement anaweka kilo za kabohydrate za kutosha jikonitunahitaji uwepo wenu tu lawyer. Mi na mme wangu tutagharamia kila kitu.
Baby welcome here nikupe summary wala usisumbuke kusoma pages hizi 34,pages 28 ni pumba za erick,mtei,kongosho na sweetlady,Judgement kamtokea Husninyo naye kakubali,mimi nikathibitisha kuachana kwa amani na kuwapa e-mail yangu mpya mjadala ukaisha kinachoendelea ni chatter yaani kuongea nothing important a.k.a kelele.
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
you are the one who started this now wait...
Happy for u 2. Nitakuja na kikundi kizima cha mnanda wa tandale, hakikisha Judgement anaweka kilo za kabohydrate za kutosha jikoni
harusi hapa hapa shem.
Rushwa yoyote ambayo itanipatia usingizi bila hangover baada ya kuipokea. Asante sana mwanakamatiHapa inabidi utoe ufafanuzi wa aina ya rushwa unayoitaka.
Dah nisamehe Kaby
hee, ni kile kijukuu kipya cha Mzee ODM
ndio kimevunja ndoa yao
uporoto kadata kwa Kabakabana
hasikii, haambiwi la mswalie mtume.
Uporoto aliniPM nimkopeshe hela ya kununulia kamba. Sasa sjui anafuga mbuzi au ndio anataka kujimaliza? tuongezeni maombi
Hii shuhuli tusipokuwa makini itaharibika. Cantalisia ana ka ujauzito halaf anapewa uwenyekiti?. Je akijakupatwa na kichef chef cha ghafla akamtemea mate bihalusi?Wasiliana na Cantalisia. Ye ndo mwenyekt wa kamat ya burudani.
Hujasoma vizuri hapo juu nimesema tumeachana kwa amani na siku hizi napatikana uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com.
wewe tulishakusamehe na kadi utapata. Huyo mtei ndio apeleke sura yake kwenye tundu la choo.
Hahaha! serikali ya Marekani imeamua kutusaidia kilimo cha pamba kwa kuwa pamba yetu ikifika nje ni ya kahawia na imejaa mchanga,sasa hawajui wakulima huongeza mchanga walipwe hela nzuri zaidi hawajui wanaharibu ubora,tunahitaji maombi kwa kweli. source: dailynews....Serikali ya Isiopia imejitolea kuisaidia serikali ya Tanzania wataalamu wasiopungua sita wa kilimo cha malimao - Source: Mkimbizi wa isiopia
Nimekusoma mkuu. Hongera kwa kumpata Kaba.