Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Sante sana Mtei, unanipa matumaini sana. Ubarikiwe..
Nawe pia ubarikiwe my dear. Nakusihi uzdi kumwombea pamoja na kuvunja kila hila za mwovu shetani.
Sante sana Mtei, unanipa matumaini sana. Ubarikiwe..
kwenye hii hii sredi
sikumbuki page ya ngapi.
Mie pia nimemkubali sana leo!hiyo ndo imekuwa kali kuliko zote kwa leo. Uporoto yuko juu.
WARNING: if you are too serious you better avoid meNajipigia debe apo nipewe kibarua cha kamkoda. Hilo harusi nililishoot bukina faso na mpaka leo jamaa hawajaachana.
WARNING: if you are too serious you better avoid me
Yeah! Namwombea sana asee and naamini Mungu ataenda kujibu maombi kwa kumfanya mwenye afya kama zamani!Nawe pia ubarikiwe my dear. Nakusihi uzdi kumwombea pamoja na kuvunja kila hila za mwovu shetani.
Teh wajinga ndo waliwaosijaamini kuwa wakati naanza nae bado alikuwa na husy,kumbe alinidanganya khaa
WARNING: if you are too serious you better avoid me
Yeah! Namwombea sana asee and naamini Mungu ataenda kujibu maombi kwa kumfanya mwenye afya kama zamani!
Love you baby... Mwaaaaaaaaahhhhh!!
Teh sasa tuko page ya 33 sasa hadi umalize ni leo au kesho.....fanya fasterna ilivoenda mbali,,ngoja nitulie niianze mwanzo
Hehehe!Najipigia debe apo nipewe kibarua cha kamkoda. Hilo harusi nililishoot bukina faso na mpaka leo jamaa hawajaachana.
Hahahahaaaa na bado utaona mengi sanaaiseee,ngoja niendelee kuperuz
Amyner ni boss wako kwa kuwa yeye ndo mtunza fedha na hivyo hawezi kuwa kamati yoyote tena....
Pole sana bwana Mtei
Imani yako imemponya..
Hehehe!
Lawyer umechukuliaje suala la uporoto kumbwaga husni hazarani? Toa maoni yako!
Wacha tusherehekee bana, wageni ndio kwanza wameanza kuja..Nyie wapenzi mpumzike sasa. Tuwatangazia siku ya ndoa.