Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Teh kwa hiyo unamaanisha Uporoto ni mzigo kwa jamii??nimeshakoma erick52, ila huyu uporoto atakuwa kalogwa tu, unamuachaje leo mke kesho anachumbiwa na we bado hushtuki?
Teh kwa hiyo unamaanisha Uporoto ni mzigo kwa jamii??nimeshakoma erick52, ila huyu uporoto atakuwa kalogwa tu, unamuachaje leo mke kesho anachumbiwa na we bado hushtuki?
Atakuwa anataka kujinyonga tu....usimpe
ashtuke nini wakati kashamuacha? Nitakunyima kadi wewe.
Hii shuhuli tusipokuwa makini itaharibika. Cantalisia ana ka ujauzito halaf anapewa uwenyekiti?. Je akijakupatwa na kichef chef cha ghafla akamtemea mate bihalusi?
Yeah. Kwan vbaya?
kamanda siku hizi unasoma dailynews kumbe? Dah! kweli CV umeliupgrade lolHahaha! serikali ya Marekani imeamua kutusaidia kilimo cha pamba kwa kuwa pamba yetu ikifika nje ni ya kahawia na imejaa mchanga,sasa hawajui wakulima huongeza mchanga walipwe hela nzuri zaidi hawajui wanaharibu ubora,tunahitaji maombi kwa kweli. source: dailynews.
ashtuke nini wakati kashamuacha? Nitakunyima kadi wewe.
hahahahahaha khaaaa husband wangu huyoo
Na akijinyonga tu, wazembe tunajifanya kulia siku mbili tatu kiunafik halaf tunataifisha kabanakabana
Khaaa! Kweli pasiwedi imeibwa...Baby welcome here nikupe summary wala usisumbuke kusoma pages hizi 34,pages 28 ni pumba za erick,mtei,kongosho na sweetlady,Judgement kamtokea Husninyo naye kakubali,mimi nikathibitisha kuachana kwa amani na kuwapa e-mail yangu mpya mjadala ukaisha kinachoendelea ni chatter yaani kuongea nothing important a.k.a kelele.
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
...nani anipe summary kuanzia page 24-34...doooh!nilikua kwenye ibada za vikundi...summary plz!
Nimeamini maneno yako lawyer kuwa pasiwedi ya uporoto imeibwa, angalia isijekuwa unachat na Paw hapa...kamanda siku hizi unasoma dailynews kumbe? Dah! kweli CV umeliupgrade lol
Na akijinyonga tu, wazembe tunajifanya kulia siku mbili tatu kiunafik halaf tunataifisha kabanakabana
Hahaha! Kabakabana kaapa nikifa kabla yake atakuwa mjane mpaka muda wake ufike nami pia mimeapa hivyo,mtasubiri sana hapa no vacancy lol!Safi sana....lete mkakati
Khaaa! Kweli pasiwedi imeibwa...
umkopeshe au akukopeshe?Uporoto aliniPM nimkopeshe hela ya kununulia kamba. Sasa sjui anafuga mbuzi au ndio anataka kujimaliza? tuongezeni maombi
Baby welcome here nikupe summary wala usisumbuke kusoma pages hizi 34,pages 28 ni pumba za erick,mtei,kongosho na sweetlady,Judgement kamtokea Husninyo naye kakubali,mimi nikathibitisha kuachana kwa amani na kuwapa e-mail yangu mpya mjadala ukaisha kinachoendelea ni chatter yaani kuongea nothing important a.k.a kelele.
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
Nipo hapa honey, sema chochote!Ngoja nimwambie Sweetylady aniandalie mapigo, kadi ya kaka angu Bishanga ipo lakini msimahau
Hahaha! Kabakabana kaapa nikifa kabla yake atakuwa mjane mpaka muda wake ufike nami pia mimeapa hivyo,mtasubiri sana hapa no vacancy lol!
Dah nisamehe Kaby