Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
mtei mchezo mbaya huo!
Usimaanishe hvyo
mtei mchezo mbaya huo!
Ndio maana Amyner anakuacha
pitia kidogo kidogo mkuu ila ki upupi ni kwamba tayari mtoto Amyner yupo mikononi mwangu.
Na akijinyonga tu, wazembe tunajifanya kulia siku mbili tatu kiunafik halaf tunataifisha kabanakabana
anatafuta means ya kujiua. Mtafute fasta kabla Erick hajampa hela ya kamba.
angalau umeliona hilo bro
Safi sana....lete mkakati
...nani anipe summary kuanzia page 24-34...doooh!nilikua kwenye ibada za vikundi...summary plz!
umempiga chini braza?dah!.ntamchek shem langu!..
na Jg kafanikiwa?au kitu magumashi bado?
Khaaa! Kweli pasiwedi imeibwa...
Haaachwi mtu hapaNdio maana Amyner anakuacha
misunderstanding hiyo wa kujiua ni wewe na upweke wako
Hahaha! Kabakabana kaapa nikifa kabla yake atakuwa mjane mpaka muda wake ufike nami pia mimeapa hivyo,mtasubiri sana hapa no vacancy lol!
wala,ni mapenzi tu hayo my wii
Hakuna alyeiba pasiwed.
Limbwata la Kaba ndo lnahusika hapo. Kudadeyki
Haaachwi mtu hapa
We ni mlinzi na Amy hana hadhi ya chini kiasi cha kuwa na weweErick hana chake tena. Hakuna tena ruksa ya kumuona Amyner.
JG na Husny ni comfirmed couple kuanzia leo
mahaba ya dhati hayo chezea mimi wewe?na hatoki hapa hata mjambe.
Naona husband kaja kukutia nguvu, unaongea kwa kibri...haya umlete home soon.wala,ni mapenzi tu hayo my wii
Akimaliza eda tu watu wanachukua mzigo. Nina wasiwasi na Erick kuwa ndo huwa anakusaidia.