Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

sina pingamizi tena kuhusu ndoa ya husny na jg. Nawatakia kila la kheri ktk ndoda yao. Mi nltaka up atuhakikishie kuwa wameachana na husny.
Havee my blessings husninyo na judgement

me ndo nimeishiwa nguvu kabisa, kwani nilimtuhumu judge kumfitini husyn kwa uporoto kwa utata uliojitokeza, kumbe uporoto mwenyewe amekuja kutushushua hapa! Sijui uso wangu nitauweka wapi nikionana na judge & husyn? Judge naomba uniwie radhi kwa yale niliyoyaongea dhidi yako, mbarikiwe sana j&h
 
Kwasababu mdogo wake kabakabana ndie anaetuhumiwa kuvunja ndoa ya husni na uporoto,

kama watumia laptop mkopie kaby ile email mpya ya uporoto uipaste hapa manake anapata uvivu kusoma...

wifi za kwako?? Anipestie nini tena?
 
me ndo nimeishiwa nguvu kabisa, kwani nilimtuhumu judge kumfitini husyn kwa uporoto kwa utata uliojitokeza, kumbe uporoto mwenyewe amekuja kutushushua hapa! Sijui uso wangu nitauweka wapi nikionana na judge & husyn? Judge naomba uniwie radhi kwa yale niliyoyaongea dhidi yako, mbarikiwe sana j&h

wewe tulishakusamehe na kadi utapata. Huyo mtei ndio apeleke sura yake kwenye tundu la choo.
 
Eti wewe umemdatisha uporoto ndio chanzo cha kumbwaga Husninyo, haya maneno kayasema Konnie

khaaa konny lazima atalalia misumari leo ngoja nimsake ODM mambo gani ya kuharibiana CV? Nimemkuta husy keshaachika jamani
 
Pole,
basi hata kesho waweza enda kumuona!

Sio karibu kivile kongosho, natamani ningeweza kwenda sahizi.....ni mpaka kesho asubuhi.. Wamemchukua kumpeleka hospital jioni hii, nimeshtuka na kuogopa sana... Inaniuma!

Sante sana konnie.!.....
 
Back
Top Bottom