Husninyo Pokea Proposal

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Kufuatia Uporoto kukuona wa kazi gani ! Mimi kwangu nakuchukulia kama "Mali Kipusa"
Husniy kwangu utakua Dhahabu .
Husniy utakua Tanzanite .
Hii ni OFFER maalumu kwako, njoo mammiy nikupe faraja , nikupe yale uliyokua ukiyakosa kwa Mwanaume mfupi . Yapo mengine nimeyaandika kule kwenye Sredi ya Uporoto ya jana yenye heading "Wanawake wanaotoroka kwao" unawezarejea ktk Sredi hiyo uchungulie.
Come'on Baby hutojuta kuja kipande hii ,
wadau mnaonitakia mema niuage usimbe hapa Jeief nawaomba vote to me !
Nipigieni debe kwa hiki kipussa
Sitegemei kama utaniumbua hadharani hivi kwa kuikataa Proposal yangu mchana kweupe .
NOTE : Mtu atema! Mtu adaka !
 
Yes I do!
Hivi kumbe ni Husyn, lazima atakubali maana alishawahi ninong'oneza anakuzimikia kiaina.

Wish u luck.
 
Hehehe!

Ukimuona wa nini, wenzio wanasema ntampata lini... Tuko pamoja Judgement!
 
Nshapiga kigele gele
ngoja nikavae dera, hii sketi inaniyima uhondo

lazima tujimwaye mwaye.
tena best man awe uporoto
lazima anywe sumu mwaka huu
Kililililililililiiiiiii! Wapi konnie akuje kunisaidia kupiga vigelegele...lilililiiiiiii,
 
Weee, Judgy anampenda Husyn si mchezo
kuna siku alikuwa ananilalamikia
eti 'kila akimfikiria Husyn anamaliza kichane cha ndizi'

Anafaa sana swahiba manake kakuopoa wakati wa shida, hehehe uporoto kachemsha!
 
Nshapiga kigele gele
ngoja nikavae dera, hii sketi inaniyima uhondo

lazima tujimwaye mwaye.
tena best man awe uporoto
lazima anywe sumu mwaka huu
Mie hapa sibanduki, we nibebe lile dera lako jekundu na zile raba za kijani, usisahau bangili za njano na yale mahereni yako ya blue...

Asipokunywa peke yake itabidi tumnyweshe asee!
 
hahahaha! Swahiba nakupendaga hapo tu. Vipi shem wako mpya si anafaa eeh!
We ushamkubali usiulize tena mabaya yake...
Ila anafaa sema ni Mlevi km Nitonye na wewe hupendi mlevi kabisaaaaaaaa sijui ndo penzi halitadumu km la Uporoto...
 
Back
Top Bottom