Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

images+%282%29.jpg
images+%286%29.jpg
images+%283%29.jpg
images+%284%29.jpg
images+%289%29.jpg
images+%288%29.jpg
images+%287%29.jpg
 
Huwez kuamin ni watunwapole sana kwa wake zao
Acha kabisa mziki wa mjeshi...wanapigaa wale balaa nilishaonaga kuna Dada aliolewaga na mjeshi weeee alikiona kiama akianza kumpiga anampiga mpaka ni mibuti yake ile mdada mpaka analazwa...mm mwanajeshi hapana kwa kweli
 
Nina shemeji zangu watatu wajeshi mmoja yuko very caring , mpole,charming na yuko very loyal kwa familia yake.....ila hao wawili waliobaki wanapiga wake zao balaa aisee alafu ni watata I hate them
 
Zamani ukitaka kuajiriwa jeshini lazima wanaangalia mwili sura jiwe ila sahv ni tofauti sana maHB kibao jeshini pia siyo kwamba wote wanakunywa pombe ila kulingana na wanakaa sehemu moja hvyo ukiwaona kadhaa wanatumia wanaonekana ndio maisha yao pia jeshini tunafundishwa kuishi na watu na muda gani unapaswa kuwa kimajukumu na muda gani uwe maisha ya kawaida tu. Wanajeshi wengi sahv wanawivu wa maendeleo wanapenda kuishi maisha mazuri na mazingira mazuri kulingana na kazi wanazofanya ni ngumu ndio maana wanapenda sana wakirudi nyumbani wakute furaha kwa wake zao. Njoo ihumwa utaona vijana wadgo tu wanavyoporomosha mijengo na magari ya kutosha. Ni wastaarabu na wakaribu na wanajali na wakikupanda kunako 6*6 utaomba poo


nna kabiashara hapo naruhusiwa kuleta hapo ihumwa mkuu?
 
Back
Top Bottom