Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Ndio maana hata mimi nataka niende jeshi maana kila dada anatama "a man in uniform " ngoja nitafute chance na mimi..

Onyo:sio nikirudi kutoka depo nikute mmebadirika mkaanza kutaka wapiga debe maana nyie wanawake sio watu wa kuaminika leo mnaweza kupenda wajeda kesho mkataka madokta
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
IMG_20180307_212638.jpeg
 
Mnapenda wanajeshi au Hela za wanajeshi maana naona mnachokipenda zaid hapo sijui matunzo na mengine meng n hela tu hamna lolote....Semeni tu mnapenda hela tutawaelewa sio magwanda
 
Mnapenda wanajeshi au Hela za wanajeshi maana naona mnachokipenda zaid hapo sijui matunzo na mengine meng n hela tu hamna lolote....Semeni tu mnapenda hela tutawaelewa sio magwanda
Tunachopenda hawachagui huyubmwanamke kaishia la saba au ana Degree wanaoa tu ili mrad upendo
 
si nasikia ukitumia vitambaa vinavyofanana na jeshi wajeda wanaruka na wewe..
au wameacha siku hizi?
Ukivaa combati ya jeshi halisi kama aliyokua amevaa diamond kwenye show lazima upitie aisee coz zile haziuzwi dukani lazima usotee ndio upate sasa mtu from no where umevaa baka baka. Unakatika viuno stejini lazima wapite na wewe
 
hahahah kweli kabisa!
unakuwa unadhalilisha mabaka yetu
 
Back
Top Bottom