Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,632
Hahahahaha kweli ngoja nipambane na hali nayoipenda mkuuPambana na hali yako mkuu mm ni flat screen kama za kichina toleo jipyaaa
Hahahahaha kweli ngoja nipambane na hali nayoipenda mkuuPambana na hali yako mkuu mm ni flat screen kama za kichina toleo jipyaaa
Nilikuwa hapo Ruvu miaka ya 80's nikiwa bado captain. Niliwapokea akina Mwamasangula na Nyoka. Naskia Mwamasangula amekuwa fundi wa kuandaa magwaride ya kitaifa.Njoo Huku 832 Kj Ujichagulie Binti
Dar hakuna wanajeshi?mnapenda miteremko sana kwa hiyo sisi wanaume wa dar sio wanaume au
Halafu kwa wapenzi/wake zao wanalegea kabisa, hata kurusha ngumi kwao mtihani.wadada mnahangaika bure tu.
ndo maana uwa mnang'olewa meno na hayo majitu.
Nipo Ihunwa tukutane Mbalamwezi mida ya jioni unipe k vant kwa kuwapaisha kias hikiZamani ukitaka kuajiriwa jeshini lazima wanaangalia mwili sura jiwe ila sahv ni tofauti sana maHB kibao jeshini pia siyo kwamba wote wanakunywa pombe ila kulingana na wanakaa sehemu moja hvyo ukiwaona kadhaa wanatumia wanaonekana ndio maisha yao pia jeshini tunafundishwa kuishi na watu na muda gani unapaswa kuwa kimajukumu na muda gani uwe maisha ya kawaida tu. Wanajeshi wengi sahv wanawivu wa maendeleo wanapenda kuishi maisha mazuri na mazingira mazuri kulingana na kazi wanazofanya ni ngumu ndio maana wanapenda sana wakirudi nyumbani wakute furaha kwa wake zao. Njoo ihumwa utaona vijana wadgo tu wanavyoporomosha mijengo na magari ya kutosha. Ni wastaarabu na wakaribu na wanajali na wakikupanda kunako 6*6 utaomba poo
Nawaona vijana wa Ihumwa wameoa na wanawajali sana wake zaoHawabagui mwanamke wa kuoa ila wanapenda wanawake wenye upendo,heshima,kujali na mwenye kujituma na akili tu ya kukaa na familia maana muda mwingine huwa wanaenda kozi hvyo unabaki na familia pamoja na kusimamia miradi ya maendeleo kama ipo me mwenyewe hata kama umeishia 7 B kama uko vzr nakutia ndani chap
Kwenye kipoozeo safari za kumwagaMambo gani