Acha kabisa mziki wa mjeshi...wanapigaa wale balaa nilishaonaga kuna Dada aliolewaga na mjeshi weeee alikiona kiama akianza kumpiga anampiga mpaka ni mibuti yake ile mdada mpaka analazwa...mm mwanajeshi hapana kwa kweliHuwez kuamin ni watunwapole sana kwa wake zao
Mmmmh haya sasa matusi mkuuKaa, uliona wapi gari la Mbagala Kivukoni kujaa.
Ha haha kajiungeni jeshi na nyieKwa hiyo sisi “Walugaluga” imekula kwetu?
Ha haha kajiungeni jeshi na nyie
Sisi wengi wao ni mambo mengi kama unga wa ngano......mara chapati,mara kalmati,mara sambusaNitahamia kwa mainjinia tena sitaki kusema maneno mengi maana hayo mabuti yenu yanatisha sana kama maroli ya dangoteee
Rudi field mama kafanye research tena hii proposal imekataliwa
Tena ukishakua afisa jeshi uje tusherekeeItabidi tufanye hivyo kwa kweli, hakuna namna!
Tena ukishakua afisa jeshi uje tusherekee
Zamani ukitaka kuajiriwa jeshini lazima wanaangalia mwili sura jiwe ila sahv ni tofauti sana maHB kibao jeshini pia siyo kwamba wote wanakunywa pombe ila kulingana na wanakaa sehemu moja hvyo ukiwaona kadhaa wanatumia wanaonekana ndio maisha yao pia jeshini tunafundishwa kuishi na watu na muda gani unapaswa kuwa kimajukumu na muda gani uwe maisha ya kawaida tu. Wanajeshi wengi sahv wanawivu wa maendeleo wanapenda kuishi maisha mazuri na mazingira mazuri kulingana na kazi wanazofanya ni ngumu ndio maana wanapenda sana wakirudi nyumbani wakute furaha kwa wake zao. Njoo ihumwa utaona vijana wadgo tu wanavyoporomosha mijengo na magari ya kutosha. Ni wastaarabu na wakaribu na wanajali na wakikupanda kunako 6*6 utaomba poo
Wako wengi mnoKuna wajeshi humu kweli?