Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Wivu, pombe na misifa ukiweza kuwe mtii na kuitikia 'yes sweet', akikohoa we itika tu kama juha umeniita mpenzi hapo bi dada utakabidhiwa ATM Card na password haaa 😉😉😉
 
Kiukweli mwanaume wa kweli kwangu ni mjeshi tu hawa watu ni balaaaa jamani kiiikuuubwaaa ni wasafiiiiii wanaume wengine mtanisamehe wanajeshi oyeee
 
Kabisaa wakipenda wamependa sijui huwa wanafundishwaaa
Nature ya kazi hiyo inafanya muda mwingi wawe mbali na wenzi, kwahiyo wanakuwà na 'ukame' na ile kitu.
Ndio maana unaona kama wanajali sana wanawake na hawachagui.
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na mdada fulani hivi mwanajeshe wa kutoka Iringa jina kapuni yaani amri za kijeshi alizihamishia mpaka kwenye mapenzi ilinibidi niseme kwaheri . Nikang'atuka kimnya kimnya. Usije niambia eti mapenzi na mjeta eti huwa yananoga hapana maana hawajuwagi kudeka wala nini.
 
[emoji16][emoji16] alikuzidi umri eeh?
 
Back
Top Bottom