Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

Gentleman96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
912
1,666
DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi.
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana walichangamka na kupata deal kisha wakaingia mtaani kwenye mvua na jua, walijua watapata malipo siku ya mwisho wamepigwa njenje. Walitakiwa kulipwa 20k kwa siku na wamefanya siku 30. Hivyo 15×20= 300,000/= Lakini wamelipwa 240,000/=

WATU WAMEJUTA KUFANYA KAZI HIYO... HASA WILAYA YA MBARALI WATU WAMEDHURUMIWA... Naomba waziri CHUNGUZA WILAYA HIYO... RETWEET KWA AJILI YA FAIDA YA TAIFA LAKO​
 
Screenshot_20220416-091438_Google.jpg
 
DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika MBEYA. Zoez la uandikishaji post code limefanyika mkoa wa MBEYA na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. Soma
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana walichangamka na kupata deal kisha wakaingia mtaani kwenye mvua na jua,walijua watapata malipo siku ya mwisho wamepigwa nje nje. Walitakiwa kulipwa 20k kwa siku ,na wamefanya siku 30. Hivyo 15×30= 300,000/= Lakini wamelipwa 240,000/=
WATU WAMEJUTA KUFANYA KAZI HIYO... HASA WILAYA YA MBARALI WATU WAMEDHURUMIWA... Naomba waziri CHUNGUZA WILAYA HIYO... RETWEET KWA AJILI YA FAIDA YA TAIFA LAKO
🇹🇿
Screenshot_20220416-091943_WhatsApp.jpg
 
15×30 kivipi sasa wakati umesema walitakiwa kulipwa 20k.?
Anyway hata waalimu pia huko Mwanza walipigwa za uso na KAZI IENDELEE.
Mchepuko anaupiga mwingi huko Washington DC.
 
DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi.
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana walichangamka na kupata deal kisha wakaingia mtaani kwenye mvua na jua, walijua watapata malipo siku ya mwisho wamepigwa njenje. Walitakiwa kulipwa 20k kwa siku na wamefanya siku 30. Hivyo 15×20= 300,000/= Lakini wamelipwa 240,000/=

WATU WAMEJUTA KUFANYA KAZI HIYO... HASA WILAYA YA MBARALI WATU WAMEDHURUMIWA... Naomba waziri CHUNGUZA WILAYA HIYO... RETWEET KWA AJILI YA FAIDA YA TAIFA LAKO
🇹🇿
Kwanini msiandike malalamiko yenu kwa sipika kwani hujui ni mbunge wa huko kwenu?
 
Wenyew wa halmashauri wanasema kila mtu anakula kazin kwake
 
DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi.
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana walichangamka na kupata deal kisha wakaingia mtaani kwenye mvua na jua, walijua watapata malipo siku ya mwisho wamepigwa njenje. Walitakiwa kulipwa 20k kwa siku na wamefanya siku 30. Hivyo 15×20= 300,000/= Lakini wamelipwa 240,000/=

WATU WAMEJUTA KUFANYA KAZI HIYO... HASA WILAYA YA MBARALI WATU WAMEDHURUMIWA... Naomba waziri CHUNGUZA WILAYA HIYO... RETWEET KWA AJILI YA FAIDA YA TAIFA LAKO​

BB3EA4E8-11B0-429B-AB56-FEEABD971B87.jpeg
 
Back
Top Bottom