Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

Kweli, Sasa Mbowe nae aeleze zile 8.9 billion mishahara ya wabunge alitumiaje.
Hawezi kuzielezea kwani waliopaswa kuzidai kesha watia MKWARA wamekimbia nchi, yaani akina Godbless, labda waibuke wale akina dada waliokuwa wabunge wa Viti Maalum waseme na kudai vinginevyo wameliwa!

Akina Halima na Easter hawawezi kuzidai kwani bado wanasubiri mizengwe ikamilike ndani ya uongozi wa CHADEMA ili wawe Wabunge wa Viti Maalum. Usidhani utani, HAKUNA LISILOWEZEKANA. Msubiri tu muone.
 
SISI, Tanzania hatukupewa hiyo hela kwa sababu tulikataa masharti ya LOCKDOWN. Waliokubali hayo masharti ndiyo walipewa na kama unayafuatilia hayo mahela ya CORONA, nadhani umesikia ule mtiti wake kwa ndugu zetu hapo juu. Msilishwe maneno tu na kuanza kusema msiyoyajua humu JF.
 
Hivi ni kweli CCM ni Majizi?
Siyo kweli CCM siyo majizi. Majizi wanajulikana ila kwa uoga wa wale Wabunge wa CHADEMA waliodhulumiwa ile mihela na MWENYEKIGODA wao, basi anapeta tu na kuanza kufanya mkakati wa KIELEKITRONIKI kuanza wizi mpya!
 
SISI, Tanzania hatukupewa hiyo hela kwa sababu tulikataa masharti ya LOCKDOWN. Waliokubali hayo masharti ndiyo walipewa na kama unayafuatilia hayo mahela ya CORONA, nadhani umesikia ule mtiti wake kwa ndugu zetu hapo juu. Msilishwe maneno tu na kuanza kusema msiyoyajua humu JF.
Sikiliza kamati ilichosema Jana usikurupuke. Wenzio wamechukua we endelea kukenua.
 
EU itakusaidia nini weye!? Jana walikuwa wanazungumzia mambo yao ya mapesa ya COVID -19 na nyie kwa kukubali UONGO wa Lissu na Bob mnasubiri ajenda ya Tanzania! MMELIWA! Ajenda kuu kwa sasa EU ni COVID -19, kura ya VETO ya wale wanachama wake wawili juu ya hizo pesa za COVID - 19, stimulus package ya wafanyabiashara wao na BREXIT PERIOD. Hayo mengine ni ajenda za Lissu na Bob.
Safari hii hawa WAHUNI wataendesha serekali yao kupitia vitambulisho vya wamachinga, walalahoi mkae chonjo.
 
Maneno
Safari hii hawa WAHUNI wataendesha serekali yao kupitia vitambulisho vya wamachinga, walalahoi mkae chonjo.
Maneno ya MFA MAJI kama ya Lissu na Amsterdam wake. Watasema UONGO mpaka lini watu hawa? Na watu na akili zao TIMAMU nao wanaingia kwenye mtego huo. Basi tungoje tuone. Wala msitukane bali leteni hoja tu.
 
Wewe unacho kitambulisho cha wamachinga tayari? Safari hii imetajwa vitakuwa na picha zenu kabisa.
 
Kamati gani
Sikiliza kamati ilichosema Jana usikurupuke. Wenzio wamechukua we endelea kukenua.
Kamati gani Mama Mkubwa!? Au na mimi nikwambie, sikiza alichosema Balozi wetu huko Belgium na EU na walichosema Waswideni! Na wewe ENDELEA KUSHANGAA NA KUKENUA!
 
CCM hawawezi kuisimamia serikali.

Wajumbe wote wa chama kama NEC wengi wapo serikalini na RAIS ni mwenyekiti wa chama, hawezi kujisimamia kamweeeeee
 
Eti taifa huru muumize watu muuwe watu msababishi dunia gharama za kuhudumia wakimbizi muachwe tu.
Teseni wake zenu na watoto wenu na sio kuumiza wasio hatia
 
Watuheshimu kama taifa huru linalokandamiza watu wake!

Watoto ni wako lakini ukiwatesa majirani watakushughulikia tu. Watoto ni wa Jamii. Watanzania ni Mali ya dunia na sio ya jiwes and company. Thus kuna the Hague sehemu salama ya kuwafunza waliokosa malezi Bora utotoni
 
Back
Top Bottom