Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

Bro Polepole tumesikia eti zile "USD Millioni 27" mlizopewa na EU (Umoja Wa Ulaya) za kupambana na Covid-19 mmenunulia zile Land Cruiser VX "61" za kijani mlizotumia kwenye kampeni?

Chenchi iliobakia mkanunulia risasi na mabomu mliotumia Zanzibar & Pemba na Mara???

Halafu huku JF wanasema wewe ukizeeka eti utakua mchawi/mwanga.
Tanzania haina corona, sijui hizo hela wamefanyia nini.
 
Mwambie Polepole hakuna kuheshimiwa kama unaua watu, unabambikia kesi, kuwapora ushindi kwenye sanduku la kura na kukiuka misingi ya Haki za binadamu
 
Hakika Sentensi hiyo kutoka Kwa Humphrey Pole Pole imehitimisha kwamba we are strong hatutereki
 
Siku hizi these press conferences zimepoteza maana kabisa. Yaani sasa hivi Polepole anaweza kuamka asubuhi na kuita waandishi ili tu kujibu tuhuma iliyopostiwa Twitter na watu aina ya Amsterdam
Chadema ndio kabisa yale "matamko" yao kwishney....tunachapa kazi, naendelea hayana Chama!
 
!
!
Hela Ya Corona Iko Wapi?
Yale mapipa ya "maji tiririka" kwa kila shule, mtaa, Kijiji, vituo vya mabasi, nk pia vituo vya kupokea wagonjwa vilivyoandaliwa nchi nzima ambapo watumishi wa afya maaskari na madreva mf. hostel za JPM pale UDSM umadhani zilikiwa zinaendeshwa kwa pesa ipi? Pesa ya EU ilitumika hapo na vielelezo vipo tunawatumia. Common sense: sijawahi kuona mtu ameshindwa konyesha hesabu ya matumizi, hesabu ya mapato ndiyo huwa ngumu Sana!
 
Kweli kabisaaa hii
 
Back
Top Bottom