Waambie wakukojoleshe ulale, Polepole aliyepandisha mchakato haramu/gulio la kununua viongozi wa upinzani eti wanaunga mkono juhudi,ndiyo tukapata akina Kitila Mkumbi,Katambi nk pamoja na wabunge covid 19,
Kama amekutuma au umejituma kaanze upya,mbona Serikali mnaongoze pemeyenu Hadi Bunge,Serikali za mitaa,madiwani Sasa ubawashwa na Nini?
Tunasubili Tanzania iwe Kama ulaya maana wapinzani walituchelewesha sana kupata maendeleo ,
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
MNAFIKI tu ,wajua uzalendo wewe, nenda Butiama angalau utaujua uzalendo japo hakuna binadam aliekamilika
 
Itoshe tu kusema kwamba huyu comrade Polepole no hazina iiliyobaki kizazi hiki yenye chemistry ya Unyerere na u Jpm!
Time Will tell.
Siku moja tutashuhudia akikagua gwaride la uapisho.
Ukivimba pusuka tuu!
 
Usiniambie.?

Ulikubalije sasa si mngeenda kupima kwanza?
Hayo ya kwenu wenyewe huko CCM na tamaa zenu za ubunge wa vitu maalum. Na wewe na hiyo combination ya viruses uliobebeshwa hata ARV zitadunda na huku marinda walishakufumua sijui utaponea wapi, unasubiria tani sita za udongo tu.
 
Hakuna uzalendo hapo,huo uzalendo ulikuwa wapi wakati JPM alipokuwa Madarakani?sasa hv analia Lia na kutoka povu kwa sababu lile kundi lake sukuma gang na wahunga mkono juhudi,wametolewa kwenye ulaji baada ya kichwa chao kufa.
Wale wote Pro Maghufuri,wanashikishwa adabu sasa hv,ulaji umepotea,sasa hv walioshika nchi ni Wana mtandao wa Mzee wa msoga JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…