When ignorance screams, intelligence moves on..Kama unataja akili kama za shetani mkuu uko sahihi,maana shetani mkuu aliweza kupiga chenga za kishetani na kufauli kuwa na himaya aloimiliki.
Kama jpm aliua, alipiga watu risasi,alihamishia mali chato, alileta ukabila,udini akaiba hela ktk akaunt za watu, akatenganisha koo, familia na ushenzi wote, I BEG TO BE WITH YOU, THE SUN OF LUCIPHER
By the way kuua ni relative