Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,723
- 114,071
Duh....!, asante sana kwa taarifa, ngoja nifute fasta!.Mkuu, hii ifute kabla wateja wako wa uwakili hawajaiona, Judge Incharge Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mwanza ni nani? Na pia alikuwa Jaji Incharge Mahakama Kuu Masjala NdogoBukoba akaacha madudu matupu huko.
Ingia google utakutana na mautumbo anayoandika katika hukumu. Anafuta mwenendo wote wa shauri wa mahakama ya chini, halafu anatumia mwenendo huo huo kutoa uamuzi na kutangaza mshindi
P