Humphrey Polepole: Jaji Ntemi alitufuata CCM akatuomba tumpelekee orodha ya Mawakili tunaotaka wafungiwe

Mkuu, hii ifute kabla wateja wako wa uwakili hawajaiona, Judge Incharge Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mwanza ni nani? Na pia alikuwa Jaji Incharge Mahakama Kuu Masjala NdogoBukoba akaacha madudu matupu huko.

Ingia google utakutana na mautumbo anayoandika katika hukumu. Anafuta mwenendo wote wa shauri wa mahakama ya chini, halafu anatumia mwenendo huo huo kutoa uamuzi na kutangaza mshindi
Duh....!, asante sana kwa taarifa, ngoja nifute fasta!.
P
 
Nimemsikia!, kwanza Tanzania hatujawahi kuwa na Jaji Mtemi Ramadhani, Jaji ni Agustino Ramadhani. Mtemi Ramadhan alikuwa mchezaji wa Simba, kisha kiongozi wa Simba kisha kiongozi wa FAT.
P
Mkuu Kuna wakati Tulia tu Utunze heshima Yako..😅😅
Wewe ni Very Respected Person kwenye Jamii..
Ukichangia hivi tutashindwa kukuelewa..
Jaji Ntemi humjui!?...
Inasikitisha kuona wewe kama Advocate na Mwana Habari Mwandamizi humjui
 
Unafikiri ma adivoketi wote wanawajua majaji wote?. Japo mimi ni adivoketi ila Mahakamani sijawahi kukanyanga na Jaji Mtemi Ramadhan sijabahatika kumfahamu!, na kutomfahamu Jaji yeyote au mtu yeyote sio kosa kisheria!, kuna mahali ndani ya JMT kwao rais ni Nyerere, Nyerere wa sasa ni Samia!.
P
 
Hakuna ajabu yoyote, hata Yesu pia hakutambuliwa na kusulubishwa, hivyo ni kweli hawa majaji wa voda fasta, kiukweli kabisa sijabahatika kuwatambua wote!.
P
Mkuu Jaji Ntemi ni Moja ya Majaji wanaotambulika sana..
Na high Profile jaji licha ya kuwa katika kamati ya maadili ila ni mmoja ya watu wanaotambulika...

Usiniambie hata Rais wa TLS humjui 😳😳
 
Unafikiri ma adivoketi wote wanawajua majaji wote?. Japo mimi ni adivoketi ila Mahakamani sijawahi kukanyanga na Jaji Mtemi Ramadhan sijabahatika kumfahamu!, na kutomfahamu Jaji yeyote au mtu yeyote sio kosa kisheria!, kuna mahali ndani ya JMT kwao rais ni Nyerere, Nyerere wa sasa ni Samia!.
P
Najua katika kuongea Siwez kushindana na mwanasheria
 
Unafikiri ma adivoketi wote wanawajua majaji wote?. Japo mimi ni adivoketi ila Mahakamani sijawahi kukanyanga na Jaji Mtemi Ramadhan sijabahatika kumfahamu!, na kutomfahamu Jaji yeyote au mtu yeyote sio kosa kisheria!, kuna mahali ndani ya JMT kwao rais ni Nyerere, Nyerere wa sasa ni Samia!.
P
Ntaichukulia Hii comments kama umeteleza Ndugu ADIVOKETI wangu...
 
Najua katika kuongea Siwez kushindana na mwanasheria maana mimi Daktari tu. Mkuu
Mkuu Daktari, hakuna kushindana bali ni mtu tuu kuwa honest, unakuwa hujui tuu vitu vingi, mimi mpaka sasa japo ni mwanasheria,;bado nawashangaa sana wanasheria waliofanya madudu haya Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria? na haya Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi, Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!. lakini wenyewe wanajiona wako right kabisa!.

Shukrani sana..
Nimependa Hilo Jibu linaonyesha Honesty

Na nimesoma hizi nyuzi zako zote nakufatilia sana hapa jf na ni mmoja wa watu wanaosoma sana mabandiko yako Tangu mwaka 2009..

Ila tu ulinishangaza kusema humjui mtu huyo ikuwa wewe ni mwanahabari mwandamizi na Advokate wa mahakama kuu
 
Mkuu, hii ifute kabla wateja wako wa uwakili hawajaiona, Judge Incharge Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mwanza ni nani? Na pia alikuwa Jaji Incharge Mahakama Kuu Masjala NdogoBukoba akaacha madudu matupu huko.

Ingia google utakutana na mautumbo anayoandika katika hukumu. Anafuta mwenendo wote wa shauri wa mahakama ya chini, halafu anatumia mwenendo huo huo kutoa uamuzi na kutangaza mshindi
Pascal Mayalla yuko sahihi, hakuna Jaji Ntemi Ramadhan ila kuna Jaji Dkt. Ntemi Nimilwa Kilekamajenga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom